Search results

 1. Zingzingzing

  Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

  Habari yenu wana jf. Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
 2. Zingzingzing

  Mafuta ya alizeti na mashudu meupe yanapatikana songea mjini

  Ninayo mafuta ya alizeti lita zaidi ya 100, ninauza jumla na rejareja, lita moja Ni tsh 3000, mashudu meupe kilo tsh 70, Mawasiliano 0754,350,882, karibuni
 3. Zingzingzing

  Kwa first year aliyepata hostel mazimbu, Chuo Kikuu Sokoine

  Kama kuna first year aliyepata room mazmbu naomba tushare cost unibebE mwana jf mwenzako,, 0754350882,,, nitalipa ela yote uliyolipaa ww... Usitishwe na mkwara.
 4. Zingzingzing

  Wadau wa Elimu naombeni ushauri kwa hili linalonitatiza.

  Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SUA ninasomea Bsc Education( geography& mathematics) ,natarajia kuingia mwaka wa 3.. kwa miaka miwili niliosoma nimejitahd kwa juhudi zangu kupata gpa ya 3.2, nilipokua mwaka wa kwanza sikua vizur sana nilipata gpa ya 3.0 , mwaka wa pili nilikomaa sana...
 5. Zingzingzing

  Bomoa bomoa yahamia Songea, Jimbo kuu la Songea na ofisi za Mkuu wa Mkoa zakumbwa

  Katika harakati za kuendelea kuisoma namba,zoezi la bomoa bomoa limehamia mkoani Ruvuma wilaya ya Songea. Nyumba nyingi zimekumbwa ikiwamo benki ya NMB , kanisa jimbo kuu la Songea pamoja na ofisi za CCM na mkuu wa Mkoa.
 6. Zingzingzing

  Kwa mara nyingine tena, leo nimethibitisha puli ni mchezo hatari sana duniani

  Habari wana MMU, Muda si mrefu uliopita nilikua nimekutana na mpenzi wangu katika harakati zangu za kujiona kiasi gani nipo fiti tangu niache puli. Tulianza kuandaana kama kawaida lakini nikiri sikua na msisimko wowote ule wa kihisia, nimefanyiwa kila aina ya romance lakini hamna kitu, show...
 7. Zingzingzing

  Kamanda Sirro awasili Manispaa ya Songea; tunakukaribisha pia Mheshimiwa Rais

  IGP simon siro awasili manispaa ya songea kwa ziara ya kikaz leo asubuhi kwa usafiri wa helicopter,,karibu songea pia
 8. Zingzingzing

  Mrejesho namba 2: Siku 45 nje ya puli, aibu hii itaisha lini?

  Habarini za Jumamosi ndugu zangu, Siku si nyingi nilileta uzi humu unaohusu siku 30 nje ya puli, niliendelea kutunza afya yangu vizuri lakini siku ya jana nilijaribu kuangalia tena kwa kiasi gani nipo fiti lakini mabaya yafuatayo yalinikuta; (1)Nilifanya mapenzi kwa zaidi ya dakika 60 lakini...
 9. Zingzingzing

  Siku 30 nje ya puli, leo nimekutana na haya kunako kitandani

  Baada ya kuachana na puli kwa siku 30, leo niliamua nijaribu kujua nipo fiti kiasi gani, lakini nimepata matokeo yafuatayo; 1)Nimechelewa sana kumwaga bao la kwanza hisia zilikuja kwa mbali sana. 2) Sio mara yangu ya kwanza kufanya ngono, lakini mapenzi nimeona hayana tija yoyote kwangu, yani...
 10. Zingzingzing

  Simu yangu haipokei SMS na pia mtu akinipigia inamwambia nipo busy japo sipo busy, msaada tafadhali

  kwa mwenye ushauri juu ya hili tatizo wakuu,natumia Tecno c7
 11. Zingzingzing

  Nimetafakari kuwa na mpenzi hapa chuo lakini ninazani hizi ndizo zitakua hasara kwangu

  mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana stress ,hasa kama kozi moja 3]out zisizo na msingi, nachoka kuwaona wasichana wengi lakini similiki...
 12. Zingzingzing

  Kwa niliyoshuhudia usiku huu hapa chuo, da! usishindane na mtoto wa kike

  Nikiwa naelekea kula usiku huu wa sa 1,ghafla ikanipita gari aina ya V8 mpya hivi ikielekea njia ya hostel, muda narudi nikashuhudia yule msichana white mkali akifungua mlango wa V8 na kuingia ndani, kuchungulia kwa mbali nikaona mtoto akiliwa denda kali kisha gari likigeuza na kuelekea njia ya...
 13. Zingzingzing

  Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

  Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
 14. Zingzingzing

  Wana Geographia Naomba Mnisaidie Swali Hili.

  How a river can control floods?
 15. Zingzingzing

  Jinsi ya kuweza kushinda michezo ya token kirahisi

  Jamani leo nimeliwa pesa nyingi kwa mchezo huo , naomba mnipe njia za kuweza kushinda nilipe kisasi.
 16. Zingzingzing

  Why human being are said to be inteligent than other organism? (Give out 3 points)

  Naomba mnisaidie swali hli tafazal.
 17. Zingzingzing

  Mwenye uelewa juu ya dawa za macho za hospitali naomba pita hapa

  Kama nilivyoandika kwenye heading ni kuwa mwenye uelewa juu ya dawa za macho za hospitali aje hapa kuna mambo nataka anijuze.
 18. Zingzingzing

  Kombi ya EGM, ushindani katika soko la ajira

  Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.
 19. Zingzingzing

  Unaelewa Nini Juu Ya Mashairi Ya Nyimbo Ya Mrisho Mpoto Inayoitwa "WAITE"

  Hebu tuambiane juu ya uelewa wa nyimbo hyo kama wewe unafahamu juu ya mafumbo ya nyimbo ile.
Top Bottom