Search results

 1. Kidzogolae

  Comparing: Lowassa vs Pinda

  Jamaniee, mimi nachukia sana mafisadi, ila, kuna ishu moja hivi kila siku najiuliza, kipindi Lowasa yupo, pamoja na kwamba wanasema ni fisadi, lakini jamaa alikuwa anapiga mzigo ile mbaya, na nchi ilikuwa inachachamaa. Najua wengi watanipinga hapa, lakini wapinge wakitoa data halisi. Na kama hii...
 2. Kidzogolae

  Unigeria na Ukenya wasambaa kila kona Tanzania

  Wengi tunaelewa kuwa, baadhi, nasema baadhi ya wandugu zetu wa Nigeria, kipindi cha nyuma wamekuwa wakisifika sana kwa ulaghai, hasa wa kuwaibia hela watu mbumbumbu au wasio na elimu ya kutosha. wamejaa humu kwenye net. wengi hapa bongo wameliwa hela zao, baada ya kudanganywa kuwa wameshinda...
 3. Kidzogolae

  Balali's death: MCHANGA WA MACHO?

  Jamanie, hivi ni kweli kuwa yule muhehe Balali kafariki? Kusema kweli, kama amefariki, mimi nawapa pole sana wanandugu wake. kwasababu anaweza kuwa alitumika kama chambo tu kwa mafisadi walio na madaraka kuliko yeye, akajikuta na yeye analazimika kufanya mambo ya kifisadi kwasababu system...
 4. Kidzogolae

  Waganda wawaletea fujo Stars na viongozi wetu

  Jamani, hivi kwanini waganda waliwafanyia fitina viongozi wetu wa mpira pamoja na wachezaji na mashabiki wetu. manake ninavyosoma magazeti, nasikia hadi watz wengine walijeruhiwa, na viongozi wetu hadi wameamua kukata ties na Uganda kimichezo. Au nao wanataka kuwa kama wakenya? wanataka...
 5. Kidzogolae

  Mashoga wa california

  Jamaniieee, nyie mnaokaa majuu kwasasa, hasa USA, tunaombeni mjitahidi msijeambukizwa huo uchafu wanaoufanya wamarekani. Jana niliangalia TV nikaona jinsi sheria za california zinavyowaruhu ma homosexuals. Mimi nikiwa raisi, wakijafanya kitu kama hicho hapa Tz, napiga bunduki wote. sibakizi hata...
 6. Kidzogolae

  Magadi tuyachimbe?

  kama hicho kiwanda kitasaidia wananchi, wanaohangaika wanatamani tu hata hao flamingo wangekuwa karibu wawakamate wawachinje walau wale nyama tu manake maisha magumu, sioni kama kuna umuhimu wowote wa kutuzuia tusijenge icho kiwanda kama kitaleta walau contribution fulani kwa nchi yetu. najua ni...
 7. Kidzogolae

  Baadhi Ya Watanzania Ni Vipofu Kabisaa

  Jambo forum pamoja na watz wengine wenye uwelewa, tunayo kazi kubwa ya kuwaelimisha watz wenzetu walio vipofu. si kosa lao, kikubwa najua ni umasikini na kunyimwa elimu, ndo maana hawajui yanayoendelea duniani na tz kwa ujumla. mfano, Lowasa alikula kodi zao, lakini walipomwona kule Monduli...
 8. Kidzogolae

  ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inawezekana?

  Hivi, inawezekana kuwa, mtu akapata mimba wakati mbegu zilikuwa zinaenda polepole sana? yaani ni hivi, mimi ni mwanaume, nilikuwa nafanya ngono na msichana fulani hivi. nilikuwa sihitaji nimpe mimba. wakati nataka kuijaculate, nilitoa nje ili imwagikie nje. nilihisi mbegu zangu haziendi kwa...
 9. Kidzogolae

  kufukuza wanafunzi udsm ni suluhisho?

  Hivi, Nani amewaambia Jumanne magimbi na Mukandara kuwa kufukuza wanafunzi ni solution? Hivi, fuju huwa inajibiwa kwa fujo?kama ndo hivyo, mbona tumeone failure nyingi sana kwa US kufikiri ataleta fujo Iraq na AFgh kama solution, lakini hadi leo wamarekani wanazidi tu kuliwa hela kufinance vita...
 10. Kidzogolae

  DARAJA kuunganisha Tz na mozambique. barabara kuunganisha na Malawi.

  Hi, hii ni good News kwa watz wote. wote tunajua kuwa kuna daraja kubwa sana linajengwa kule Mtwara kwenye mto Ruvuma kuunganisha na Mozambique, ili iwe rahisi kusafirisha bidhaa kwa siku moja hadi south Africa. pia wananchi wa Mozambique watakuwa na haki ya kuja tz bila passport. Barabara za...
 11. Kidzogolae

  Tanzania itaendelea bila Kenya, wakenya walaghai, wezi, wakatili, hatuwataki

  Mara nyingi, huwa napata shida sana. Jamani, nimetembea sana Kenya, kwa ndege hata kwa gari. ni kama nimeishi tu kule kwa muda. kiswahili changu mara nyingi ni tofauti na chao. wakenya wakiongea kiswahili,inanikereketa sana kwenye masikio yangu.sipendi kusikiliza. sasa, mara nyingi...
Top Bottom