Search results

 1. Timtim

  Frame za biashara zinakodishwa Msasani

  Frame za biashara zinakodishwa (Mandazi Road) Msasani baada kona ya Kimweri na Maandazi Road. Ni frame mpya zime baki mbili kati ya frame tatu. Mita 150 kutokea Kimweri Road upande wa kulia. Bei 400,000 na 350,000 kwa mwezi malipo ya miezi sita. Hakuna udalali. Kwa mawasialiano piga namba...
 2. Timtim

  Elimu ya bure kuanzia january 2016

  Elimu ya bure kuanzia January 2016 ni kwa wanafunzi wote kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ama ni kwa wanafunzi wapya watakaojiunga darasa la kwanza 2016?
 3. Timtim

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
 4. Timtim

  What is Capital Gain Tax

  Wakuu habari za sikukuu. Naomba kujuzwa zaidi juu ya Capital Gain Tax. Nataka kuuza property yangu lakini kwenye mkataba kumeandikwa capitial gain tax ni jukumu langu. Jee hii hulipwa % kutokana na mauzo ama inalipwa katika mjumuisho wa annual income tax. Natanguliza shukrani zangu.
 5. Timtim

  TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

  TANESCO mbona kuanzia November hii umeme unakatwa karibia kila siku? Leo nusu ya Dar haina umeme kulikoni? Au CCM wameuchukuwa umeme wao Dodoma?
 6. Timtim

  Mgomo haukuficha Ghost Doctors

  Natafakari huu mgomo wa madaktari ulioanza kumi la mwisho wa mwezi uliopita (January) ki ukweli hauna mahusiano na Ghost Workers? Vile mazungumzo yalivyoanza kwa interns kisha MAT kupenduliwa na sijui Jopo la Madaktari yote hayo hayajanikalia vizuri kichwani mwangu. Sijui nimuulize nani swali...
 7. Timtim

  Dar road signs

  Imepita zaidi ya miezi 3 hapa Dar mjini kumebandikwa road signs nyingi tu kuashiria No Entry. Inaonyesha kuwa katikati ya jiji barabara zitakuwa na mabadiliko makubwa. Cha ajabu toka walipoweka signs hizo zikiwa zimefunikwa kwa magazeti hadi sasa karibia sign zote ziko wazi bila kufunikwa bado...
 8. Timtim

  Natafuta petrol station ya kukodi Dar es salaam

  Wana JF naomba msaada wenu iwapo yupo anaejuwa ama ana ushauri juu ya kupata petrol station ya kukodi hapa Dar es Salaam.
 9. Timtim

  Magenius wa Bongo: Jengo la gorofa 7 hatarini kuanguka kariakoo

  Jengo la gorofa 7 hatarini kuporomoka Kariakoo barabara ya Swahili/Mafia. Jengo lenyewe bado halijamalizika ujenzi wake. Hali ya hatari imewekwa kwa kuondolewa majirani wote karibu na jengo hilo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. William Lukuvi, mchana huu, alitembelea jengo la ghorofa saba...
 10. Timtim

  Watoto wa majuu na mchezo mbaya

  Source kutoka Nifahamishe.com zinaeleza kuwa Matokeo ya DNA yamethibitisha kuwa yule mtoto aliyetangazwa kuwa baba mdogo kuliko wote Uingereza akiwa na umri wa miaka 12, sio baba wa kweli kama ilivyotangazwa. Alfie Patten alitangazwa na vyombo vya habari vya Uingereza kuwa ndie baba mdogo...
 11. Timtim

  Kisukari na Funga ya Saumu

  Naomba kuuliza wajuzi na ushauri juu ya funga ya saumu na ugonjwa wa diabetics ama kisukari. Madaktari wanakataza wenye kisukari wasifunge. Naomba kujuwa athari za mwenye kisukari akifunga itakuwaje?
Top Bottom