Search results

 1. plainpaper

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza. Nduguzanguni kwanza nawapongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kuhakikisha raia na mali zao wanakuwa na salama muda wote. Pamoja na sifa zote hizo lakini siwezi kunyamaza kwa kuona unyama unaondelea...
 2. plainpaper

  Huku mtaani hali tete sana

  Jamani huku mtaani hali tete sana, 1. Biashara imekuwa ngumu sana, mauzo yameshuka kwa zaidi ya 60% 2. Kuna watu wanapita bila huruma wanadai kodi za halimashauri (services levy) Naomba kuuliza hivi kweli uchumi ndo unakuwa hivi? Na wanadai kwa nguvu zote, hilo halitoshi Loan board nao...
 3. plainpaper

  Vitunguu maji.

  Nina wazo la kuilima vitunguu maji, nipo kanda ya ziwa (ng'wanza), nina wazo la kulima vitunguu maeneo ya Magu karibu na mto simiyu, changamoto ninayoiona ni usitawi wa zoa hili katika eneo hili kwa sababu udongo wa pale ni mfinyanzi(mbuga) ambayo hupasuka akati wa ukame. Naomba ushauri...
 4. plainpaper

  Sehemu salama ya kumuacha mke wangu

  Habari wanajamvi, ninataka kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka mitatu, katika tafakari zangu nimekuwa nikiwaza ni mkoa gani naweza nikamwacha mke wangu kwa muda wote huo? NImekumbuka ni Dar es Salaam pekee ndio mkoa ambao hauna madhara makubwa. Nikimuacha mkoani kuna uwezekano mkubwa wa...
 5. plainpaper

  Naomba kuuliza utaratibu wa kutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa

  Habari za asubuhi wanajamvi, naomba kuuliza kuhusu utaratibu naoweza kuutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa. Wakati mawakala wanapita kuandikisha katika mitaa yenu nilikuwa nchi jirani nikiimuuguza mzazi hivyo sikupata nafasi ya kuandikishwa. Ni utaratibu gani naweza kufuata ili nipate...
Top Bottom