Search results

 1. N

  Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

  Sundrop 5 litre ni 37000 Dar sasa anasema litre ni 5000 yy ananunua wapi?
 2. N

  Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

  Hii jamaa lazima litakuwa MTU la system huko uyahudini sio bure
 3. N

  Gereji iliyoko mbagala zakhem pembezoni mwa Dar Live ni wezi wa unga wa madini yaliyo kwenye exaust ya magari

  Ni gereji karibia zote za uswahilini mm nimeona kama garage tatu HV wanafanya hivyo wanaita makinikia
 4. N

  Mwaka wa 3 mzee huyu anahangaikia mafao yake PSSSF bila mafanikio

  Hili fuko linatesa watu Acha Bora kipindi kile ushindani ulikuwepo ila sasa watu watajuta
 5. N

  Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

  Kama nyumba ina deni watakuwa wamewakamata watu sio mchezo dah hapo huenda ndio debit collected
 6. N

  IGP Sirro umeonesha Unafiki mkubwa sana na Kuidharau Mamlaka kupitia Waziri wa Afya Dkt. Gwajima

  Anamkingia kifua mtu anapotosha juhudi za serekali za kulinda afya za watu wake huenda kuwepo kwenye kijani ndio kunabeba mtumishi wa Mungu vinginevyo.
 7. N

  Apona ghafla tu baada ya Gari ya Wagonjwa iliyokuwa ikimkimbiza Hospitali kupata Ajali na Kuua Muuguzi na Dereva

  Wadau wanasema tairi ilikuwa kipara dah! Mungu awapokee kwa kujitoa
 8. N

  #COVID19 Wananchi wanaendelea na majukumu yao, ugonjwa wa COVID-19 kama kiini macho

  Hayajakukuta unaweza kusema utakalo then ubinafsi kwa wafrika sio Jambo la ajabu kama tatizo halijafika kwake....Kuna rafiki zangu wengi wamepoteza wazazi wao kwa mpigo baba na Mama unaweza kuvaa viatu vya maumivu wanayopata......kiburi cha ujana kisikupe jeuri
 9. N

  #COVID19 Ni kwanini tunaulazimishia kwa nguvu zote ugonjwa wa Corona kuwa umerudi upya?

  Mtoa mada ni kijana sasa anajiangalia yy haangali wala hajali wazee tunaopoteza kwa huu ugonjwa. Tatizo la mwafrika ni ubinafsi kama tatizo halijafika kwake basi atadai halipo au halimuhusu
 10. N

  Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

  Hv Pascal mbona lile gazeti Tanzanite huwa analisoma kabla hajalaumu mabeberu
 11. N

  Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

  ni mchumi namna moja
 12. N

  Mtoto Kuchelewa Kutembea, shida ni nini?

  Mtafutie kigari cha mbao pia huenda kikamsaidia
 13. N

  Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

  Mataga bhana angeianzisha bwana wao wangeunga mkono sikuwahi kuona kupinga hata kama jambo lilikuwa la ovyo aliloanzisha
 14. N

  Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

  Hata kama ataachiwa jela kakaa alikuwa anapeleka wenzake na bangili kavaa na kazi imeisha atakuwa kajifunza kitu hata akirudi uraiani atakuwa kajifunza kitu
 15. N

  Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

  Meter ya mama yangu ilipiga short baada ya kuanguka mti huko barabarani wakaja TANESCO wakaiangalia wakasema haifai tena ilikuwa na unit 190 wakasema hatuwezi kuzipata maana tumefungiwa meter Mpya hazihamishiki
Top Bottom