Search results

  1. T

    Tcu wameniacha hoi

    First selection nilikosa nikajaribu secound round nikawa admitted,nimeangalia kwenye website ya chuo nilichoomba nimekuta tayari majina ya secound round selection yapo,nikachukua jukumu la kupiga tcu jibu walilonipa ni kwamba majina ya secound round hatujawatumia bado.NDUGU ZANGU HAPA IMEKAAJE.
  2. T

    Msaada kuhusu tcu

    Wandugu naombeni msaada kuhussu tcu mimi nimesoma diploma ya community development na nimeomba kujiunga na vyuo,lakini nimeangalia kwenye profile yangu,selection status inaonyesha Not yet processed,wakati wenzagu wameshapata majibu,kwenye majibu ya wasiochaguliwa tcu sipo,waliokosea...
Top Bottom