Search results

 1. G

  Natafuta mawasiliano ya watu waliosoma shule ya Sekondari Vituka

  Napenda kuwaeleza wale wote waliosoma katika shule ya Sekondari Vituka kwamba,mimi ndie mwanafunzi namba moja wa shule hiyo hata cheti changu cha shule ni 01,kwa ufupi mwanafunzi namba moja ni Mwenda Mwilima. Mwalimu mkuu wa kwanza alikuwa anaitwa Kaezya,mwenyekiti wa kwanza alikuwa mzee Jongo...
 2. G

  Kuhusu mikopo ya elimu ya juu

  mawazo yangu kuhusu kutokuwapa mikopo watoto waliosoma shule za kulipia ni makosa makubwa na aliyotoa hilo wazi akufikiria vizuri,kwani kama ni hoja kwamba wanaosoma shule za kulipia ni watoto wa matajiri,kilichukuwa kinatakiwa hapo ni kusema wazi kwamba watoto wa matajiri wasipewe mikopo bila...
 3. G

  mada na wanachoongea watangazaji na walioalikwa kipicha tuongee asubui ni tofauti kabisa

  wanachoongea watangazaji na hao walioalikwa kwenye kipindi cha tuongee asubuhi leo tarehe 8/10/2017 ni tofauti kabisa kinachofanyika hapo ni full kujipendekeza kwa Makufuli eti kutolea mfano kama ndio kiongozi mzuri sasa ina maana hakuna wanaomlaumu? na je?wanamsifu yeye kulinganisha na ubaya wa...
 4. G

  Nashauri mjadala wa kuchangia kifungu kwa kifungu hii miswada ya madini iwe live

  Ndugu wana JF mimi napendekeza itakapofika wakati wa kujadili kifungu kwa kifungu hii miswaada iliyoletwa kwa hati ya dharura na serikali iwe live bungeni maana wasiwasi wa watanzania wengi ni kwamba huenda utapitishwa kwa wingi tu,wa wabunge wa CCM bila kuwa na maslahi ya nchi kama alivyosema...
 5. G

  kama ni kinyume na katiba si,atengue tu,

  nimejaribu kufuatilia hili suala la Raisi kuteuwa wabunge 6 wanaume, maoni yangu ni kwamba,kama ni kinyume cha katiba Raisi si,atengue uteuzi wa mmoja wa hao aliowachagua na kusema wazi kwamba ni kinyume cha katiba, hasa ukizingatia kwamba yeye ni msema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 6. G

  Tuongee Leo Asubuhi Star Tv ni aibu

  Ndugu wana JF kama mtafuatilia yanayoongelewa leo kwenye STV tuongee Asubuhi ni haibu hasa pale muandishi anaposisitiza kwamba kauli ya rais ndio ya mwisho hata kama haina ukweli,hivyo kusitokee na mtu yeyote kuhoji. kwa maana hiyo tuamini pamoja na yote aliyosema rais tukubali kuzaa...
 7. G

  Mipaka ya Zanzibar na jirani zake ni ipi?

  Ndugu wana JF kwa kuwa hili jukwaa letu kwa sasa ndio linaloonekana kuwa ndilo lenye kuelimisha watu kupita taasisi zote hapa nchini naomba mtu mwenye kuelewa mipaka ya Zanzibar na majirani zake atuwekee hapa maana watu wengi hatujui mipaka ya Zanzibar
 8. G

  Ofisi ya Waziri Mkuu iwe Dodoma, isiwe kama bwana shamba

  Wana wa JF walioko Dodoma tunawapa kazi kuanzia Jumatatu hii kutuletea siku ambazo Waziri Mkuu atakuwa ofisini Dodoma, kwa wiki na kwa mwezi ili kuwathibitia wale ambao mpaka sasa bado hawajaamini kwamba ofisi hiyo sasa imeamia Dodoma rasmi. Wasije fananisha na wale wanaoishi mjini ilihali ni...
 9. G

  Watu wanauliza, Lowassa ataingia mechi ya Simba na Yanga?

  Kuna watu wengi tu wananiuliza, kwenye mechi ya Simba na Yanga Lowassa ataingia? Mwenye taarifa kamili atuwekee wazi maana JF inaaminika.
 10. G

  Badala ya kuandamana, tuwazomee

  Natoa rai yangu kwa viongozi wa CHADEMA, badala ya kuandamana kesho muweke muda maalumu kuanzia saa tatu, kwa muda wa dakika 15 za kuzomea nchi nzima kwa kupitia honi za magari, pikipiki, baskeli filimbi za kila aina kusapoti UKUTA. Ikiwezekana napendekeza ratiba iwe kama ifuatavyo:- Saa tatu...
 11. G

  Wananchi waandamana Kibondo kupinga mauaji

  Kwenye taarifa ya habari ya leo saa mbili wametangaza kwamba wananchi wa Kibondo wameandamana kupinga mauaji yanayofanyika huko. Ina maana mkuu hakusikia hiyo habari? Kama ameisikia anasemaje kwa hayo maandamano? Waliomba kibali?
 12. G

  kodi za kitapeli vituo vya basi Arusha

  kuna kodi za ajabu sana zinazotozwa katika vituo vya mabasi Arusha kwa mfano kitika kituoa kikuu cha arusha hasa babasi yaendayo Karatu, kuna kodi sh.2000 kwa ajili ya askari kuna kodi 2000 kwa ajili ya kamba,kuna kodi 17,000 kwa ajili kituo chenyewe na kodi zote hizi hazina risiti,je?maamlaka...
 13. G

  Kwa suala la mikutano magazeti yatatusababishia mauaji

  hili suala la mikutano na maandamano magazeti yatatufikisha maala hambapo damu ya watanzania itamwagika,nasema haya nikuwa na maana kwamba wanahabari ama kwa ushabiki au kwa uchama wanashindwa kuweka wazi kwamba,mikutano na maandamano ni halali au ni batili kufanywa na vyama vya siasa na kama...
 14. G

  Mwungulu TPRI kuna jipu linatoa usaa

  hivi huyu waziri wa Kilimo atakuja lini TPRI? pale kuna jipu linatoa usaa na ukitaka kuliona njoo TPRI na uongee na wafanyakazi,ukitegemea habari za kuambiwa utadanganywa
 15. G

  Maandamano ya wanawake CHADEMA yaliishia vipi?

  Ndugu wana JF, Kulikuwa na habari humu kwenye jukwaa letu kwamba,wanawake wa CHADEMA wataandamana kwenda kumuona mama Samia kufikisha ujumbe wao kuhusu mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo kule Zanzibar. Je, Waliandamana au walizuiwa?
 16. G

  Mwenyekiti wa ACT Wazalendo aizungumzia Zanzibar, awataka CUF na CCM kukaa meza moja

  Katika kipindi cha BBC Asubuhi, nimemsikia aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT, pamoja na yote aliyoyasema eti kwamba anashangaa CUF na CCM wameanzisha mgogoro. Kwa maoni yake anasema uchaguzi ulikuwa wa haki na amani na kura zilikuwa zinatangazwa kwa haki na amani, waangalizi...
 17. G

  WanaJamiiForums wafuatao, nawatakia mema 2016

  Hasanilis,Mapunda Miyonga,Kinuni,Tabby,Anonymous,Eraldus,Madrid86,Mwangaza,Ctscan,Lukindu,Ariepower,Tanaka,Pasco,Ocampo,Kombomshana,Nifah,Mdetichiaa,Mahoza,Lyengamuhiro,Mmbu,Nzalendo,Kisiki kizito,Chikutentema,Chakii,Justinejm,Odhiambo Cairo,Monges,Shieka,Nasemanao,Freedom...
 18. G

  Master plan ya Arusha itakuwaje?

  nimejaribu kufuatilia bomoabomoa ya Dar inavyofanyika naiuliza hivi itakuwaje watakapoanza kuangalia Arusha?maana katika miji isiyopangwa Arusha ni mmoja wapo sehemu iliyopimwa Arusha ni Niro tu, sehemu zote zilizobakia ni watu wamejijjengea tu,majumba baada ya kuuziwa viwanja ikiwa ni sehemu ya...
 19. G

  G.Lema nakuomba sana zungumzia hili

  katika mambo yanayonikera na kunifanya nichukie siasa ni jambo la kuweka kinga kwa rais kutokushitakiwa, rais ni madaraka makubwa sana kiasi kwamba anaweza kuiuza hata nchi sasa kumuwekea kinga asishitakiwe ni kosa kubwa sana, hivyo nakuomba Nd. yetu lema katika kampeni zako za Ubunge Arusha...
 20. G

  Wanafiki waanza kujipendekeza kwa Magufuli

  Mimi baada ya kuwasikia watu mbalimbali katika kipindi cha tuongee asubihi Star TV nimegundua watu wanajipendekeza kwa Magufuli kwa kumsifia kwamba ni mchapa kazi lakini wakiulizwa wanataka awachague kina nani kama mawaziri wake wanajifanya hawajui kana kwamba wanaomfahamu mchapa kazi ni...
Top Bottom