Search results

 1. mfate42

  Kuna wanawake wana mikosi na wengine baraka?

  Habarini ndugu zangu. Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali.. Pia nna mwingine ye baada ya...
 2. mfate42

  Nafasi za kujiunga na kidato cha tano zimechelewa mno

  Kwa mwaka Jana Hali ilikuwa tofaut kidogo, post zilitoka mapema sana.ila mwaka huu mambo ni tofaut kabisa. Hadi mdahuu no posts. Kitu gan kinakwamisha?
 3. mfate42

  Je, ni kweli plate namba D zinachongwa?

  Je, nikweli sikuhizi plate namba D zinachongwa tu kihuni hata kama gari lilikuwa namba B. Inabadilishwa na kuwa namba D ili baadaye ikauzwe kwa Bei ya juuu? Naomba ufafanuzi.
 4. mfate42

  Kama mshahara haupitii CRDB huruhusiwi kukopa

  Kama mshahara haupitii CRDB huruhusiwi kukopa CRDB kwakweli hii sheria mpya itatukimbiza wengi. Hiki kifo cha kujitakia na hakinaga pole.
 5. mfate42

  Je, inawezekana mwenye HIV akapima na majibu yakaonyesha hana maambukizi?

  Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Je, ni kweli anaetumia dawa za ARV anaweza akaonekana hana virusi kwa kipimo Cha awali? Kama Ni kweli, je Ni Nini husababisha hayo?
 6. mfate42

  Je, nichukue Toyota Wish au IST?

  Habari za muda huu ndg zangu, naomba mwenye kuyajua hayo magari nliyoyataja hapo anipe ushauri Ni lipi imara na bora kwa matumizi. Toyota WISH Toyota IST
 7. mfate42

  Mtoto kuchelewa kutamba

  Je, tiba Ni ipi mtoto anapochelewa kutambaa? Ana miezi Saba lakin hatak kutambaa, kabisa.yeye hupendelea kukaa tu. Naomba msaada wa tatizo hili kwa wajuvi wa mambo.
 8. mfate42

  Laini zangu mbili zote zimezima

  Wajumbe habari za jioni,.nimekuja kuomba msaada kwa wajuvi..tatizo lilizanza juzi laini yangu ya tigo ilizima ghafla,.ikawa haisomi kwenye simu..nikajua tatizo Ni simu ila nlipoiweka kwenye simu nyingine,.ikawa haisomi pia. Sasa Leo pia laini yangu ya voda na yenyewe imezima Kama...
 9. mfate42

  Wasanii mnapopata pesa, wekeni akiba

  Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
 10. mfate42

  Anamtamani mtoto wa Mkewe

  Je, mnaoishi na wanawake mliowakuta na mtoto wake/zake wa kike mnamudu vipi kuishi nao bila kuingia majaribuni? Au kuwatamani kimapenzi, haswa watoto waliotimiza miaka 18+? Hilo ni swali aliloniuliza kijana (jina kapuni). Tumpe ushirikiano wa majibu sahihi kwenye hili. Ndugu yetu yupo kwenye...
 11. mfate42

  Je, Kuna miti ukiipanda huleta mikosi?

  Ndugu habarini za mchana, poleni na pilika pilika za kupambana na corona niende kwenye mada.. Je, ni kweli kuna baadhi ya miti ikipandwa maeneo ya nyumbani huleta mikosi, kutokuelewana, na ugomvi wa Mara kwa Mara? Kwa mfano Kuna mti unaitwa Mngazi ambao huwa una matawi yaliochanua mithili ya...
 12. mfate42

  Majirani zangu wameanza kununa

  Kiukweli siku ya Jana nimedhihirisha ule usemi, kuwa majiran watakupenda wakiona mafanikio yako yapo chini,..na maisha yako Ni duni kuliko wao, ila ukiwazid kidogo Basi usitegemee ushirikiano wait Tena.. Mimi Ni kijana tu wa miaka,ya makamo..nlijichanga nikanunua mahali kiwanja..mwaka...
 13. mfate42

  Sikujua kwanini vibwengo walinikimbia siku ile

  Habarini za wikiendi ndugu zangu. Wakubwa shikamoni; wadogo marahaba, na wale tunaolingana, mambo vipi? Stori inaanzia hapa: Mwaka 2006 nilipata nafasi ya kujiunga na kidato cha tano shule ya Same Sec. Stori nlizozikuta nyingi zilikuwa Ni za mauza uza ya vibwengo na majini mahaba. Kuna wakati...
 14. mfate42

  Mwenye PDF Chand chemistry class xi naomba antumie

  Mwenye hichi kitabu naomba antumie Sent using Jamii Forums mobile app
 15. mfate42

  Tanki la pikipiki kuvuja Nini chanzo?

  Habarin za usiku huu ndug zangu,.sitaki kuwashosha ngoja nienda moja kwa moja kweny mada. Nna pikipiki yangu aina ya fekon ,nliinunua mwaka 2015..na haikunletea shida Hadi hivi majuzi ndo imeanza kunizingua katika upande wa Tanki la kuwekea mafuta..nikajaribu kuziba kwa kutumia dawa...
 16. mfate42

  Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

  Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale. Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda...
 17. mfate42

  Hospitali ya Same ni ya kuchunguzwa

  Kiukweli nimeshtushwa sana na hali ya hospitali ya Same katika utoaji wa dawa haswa kwa mama wajawazito. Dripu hakuna ni za kununua, plasta nazo ni za kununua na kila ultra sound ukitoka unachajiwa 500. Ukiuliza ni ya nini wanajibu ni ya tishu. Aisee Same imekuwaje? Je, ni halali kweli mtu...
 18. mfate42

  Hatimae leo nimempeleka Polisi

  Habarini za mdahuu,..ngoja niende moja kwa moja kwenye mada..kuna kijana nilimkopesha kiasi Cha pesa Kama laki mbili..kwa matarajio ya kurudisha baada ya miez miwili. Matokeo yake mwaka Sasa unakaribia kukata,..tangu mwezi wa 3 jana Hadi hivi leo 2020.. Leo nimeona isiwe kesi nikampeleka...
 19. mfate42

  Nahitaji kuongeza elimu kwa hapa bongo,.Wafadhili nawapataje??

  Habarini za asubuhi ndg zangu,..leo nimekuja kwenu ili mnipe maarifa kuhusu namna ya kupata WAFADHILI ,wa kunifadhili masomo yangu ya Masters of science with education (physics ).hapa tanzania Kwa anaejua miongozo ya kufata ili kufanikisha hili anisaidie mana Mimi nipo kijijin Sana..na napenda...
 20. mfate42

  Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

  Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
Top Bottom