Search results

 1. Mtu Mzima

  Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

  Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
 2. Mtu Mzima

  Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

  Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
 3. Mtu Mzima

  Ushauri kuhusu mtandao wa ttcl: Wired broadband

  Nina hitaji internet ambayo inaweza kuhimili kuendesha mkutano kwa njia ya video (Video conferencing) kwa ajili ya mikutano ya kikazi na watu ambao wapo nje ya nchi. Kwa vile huwa napata shida sana na hii mitandao ya internet isiyotumia waya(3G) nimefikiria kujaribu intanet ya TTCL ya waya...
 4. Mtu Mzima

  Tpa port charges-non containerized cargo

  Naomba kuuliza tozo au kwa jina maarufu ''port charges'' wanazo toza TPA kwa mizigo ambayo haiko kwenye kontena wanatumia mfumo gani. Kuna mtu atanitumia parts za gari kwenye box la ujazo wa kati ya 1 hadi 1.5 cubic mita., uzito wa makadirio kama 70-100 KG gross weight. CIF kama USD 1500...
 5. Mtu Mzima

  Saa 48 za Pasco zimeisha tunatoa saa 24 za nyongeza

  Kama mmesahau zile saa 48 mlizotoa na PM wenu zimeisha, Jumatatu hatujatia timu kazini kama mlivyoagiza, leo ni Jumanne, propaganda zote kupitia vyombo vya habari zimeshindwa na zitaendelea kushindwa na nyie wote mtalegea kwa jina la Yesu. Kama bado mnayo huruma hata kidogo kiasi cha chembe ya...
 6. Mtu Mzima

  Universal Mobile Telecommunications System (UMTS)

  Kwa mtu yeyote mwenye uzoefu au ujuzi au pengine ni Telecom engineer/Technician wa Airtel. Naomba kujua kama ninaweza kutumia Modem ya UMTS (Universal Mobile Telecommunications System) kupata Internet kwenye network ya airtel.
 7. Mtu Mzima

  Best examples of struggle from other parts of the world: Jail and outcome

  ​ ​ HUGO CHAVEZ Born into a working class family in Sabaneta, and after becoming dissatisfied with the Venezuelan political system which he viewed as corrupt and undemocratic, he founded the Revolutionary Bolivarian Movement in the early 1980s. Government of President Carlos Andrés...
 8. Mtu Mzima

  Solidarity Foreever....Isingekuwa Juhudi zako Nyerere... Mgomo wa Wahadhiri Kenya

  I like the two songs.. Public varsity dons down their tools - YouTube
 9. Mtu Mzima

  Uzoefu wangu kuhusu faida za Tembo Card VISA na MASTER CARD

  Mimi ni mteja wa benki inayotoa card za Tembo card VISA na Master Card. Nimekuwa mteja wa benki hiyo kwa kipindi kirefu tangu enzi hizo tukiwa tunatumia tembo card ya kawaida. Baada ya wateja wote kulazimishwa kuwa na tembo card ya VISA au MASTERCARD mimi pia nilibadilisha na kupata...
 10. Mtu Mzima

  wengi Tunahitaji kujua tafsiri ya 'Breaking news'

  Hili neno 'Breaking news' nafikiri linatumiwa ndivyo sivyo.
 11. Mtu Mzima

  Kalonzo Musyoka-"umakamu Wa Rais Mashakani?"

  Kuna uwezekano mkubwa wa Kalonzo Musyoka kupoteza nafasi yake ya sasa.Hali hii inapata nguvu zaidi kwa vile kwa sasa anaonekana msaliti kwa kambi ya upinzani na iwapo serikali ya sasa itavunjwa kutoa nafasi kwa serikali mpya.Ingawa yeye pia anaweza kupata nafasi katika serikali mpya kutokana na...
 12. Mtu Mzima

  Rushwa,ufisadi: Kutoka Maktaba (2001-2007)

  PRESIDENT SAYS CORRUPTION LEADS TO KILLINGS Benjamin Mkapa, President, stated mob justice in dealing with criminals has been forced on the people because of corruption of the police forces, the courts, and the lawyers. He discouraged people from taking the law into their own hands...
 13. Mtu Mzima

  Brazilian woman gives birth to her 18th child

  RIO DE JANEIRO, October 11 A 40 year-old woman from Sao Paolo, southeast Brazil, has given birth to her 18th child, local media reported. The father of the newborn girl is only 15 years old, and is a friend of one of the mother's younger children. The unemployed woman, who says she is...
 14. Mtu Mzima

  Makala Ya Kasungura Ni Bomba

  Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako,lakini pia nafikiri kwa mtazamo wangu ama umeielewa vibaya makala ile ya Kasungura au umepotoka hasa kwa kumtuhumu moja kwa moja mwandishi kuwa anatumiwa.Mimi niliisoma makala ile,ujumbe aliokuwa anataka kuufikisha kwa jamii umejikita zaidi kutokana na kauli...
 15. Mtu Mzima

  Njia Ya Uhakika Ya Kutibu Ufisadi Ni Hii

  Ushaidi wa kimazingira na wa nyaraka unaonyesha kwamba hiyo deal ya Buzwagi-Kabwe Gold mine iliunganishwa na mipango iliandaliwa vizuri tu kuifanikisha,haikuwa coincidence kwa mkataba kusainiwa wakati marafiki hawa wakiwa wote uingereza,walikubaliana wote hata kufuta kipengele cha kodi wote...
 16. Mtu Mzima

  Toa maoni yako

  Jk amekuwa akielezewa kama mtu asiyehusika na ufisadi na mikataba ya madini.Hata vyombo vya habari vilinukuliwa vikisema kuwa waziri wa nishati na madini alisaini mkataba mpya pasi na rais kufahamu. Nini maoni yako? Anahusika Hahusiki moja kwa moja ila anatumiwa Hahusiki Sijui
Top Bottom