Search results

 1. W

  Inakuwaje mtu kwa vigezo vyote ni mwenye akili za ziada kumbe mjinga?

  Na sasa mvua isiponyesha ukiomba mvua haiji unaambiwa Mungu hujibu kwa wakati wake.... Kama sina chakula leo... Nikiomba Mungu atanipa hata baada ya miaka 10 ndicho tunachoambiwa ni sahihi.! Tumejisahau sana sisi Waafrika. Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 2. W

  Inakuwaje mtu kwa vigezo vyote ni mwenye akili za ziada kumbe mjinga?

  Asili yetu ni hayo unayoita ndumba, tusisahau mila na desturi zetu na kukazania dini zilizoletwa na wakoloni... Kwa nini kila taratibu walizozikuta Africa zionekane hazifai? Ila tamaduni za wakoloni ndizo zionekane zinafaa? Ukristo /uislamu ni dini za wazungu/waarabu na ni tamaduni za wakoloni...
 3. W

  Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

  [emoji106] Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 4. W

  Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

  Kwa maelezo yako, kweli unaweza ukalala na yoyote na baada ya hapo ubadilishe na wote wawe wanakupikia na kukufulia? Unawagonganisha makusudi wanawake? Akimkuta mwenzake kwako ndio asepe, ulete mwingine? Na mchezo uwe hivyo hivyo? Sijui lakini kwa mimi naona si rahisi mkuu, labda mimi muoga...
 5. W

  Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

  Uongo Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 6. W

  Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

  emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 7. W

  Wanaume wanene tunanyanyasika sana

  [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 8. W

  Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

  Vipi kuhusu namna ya kujua hii Inatumia umeme mdogo?
 9. W

  Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

  [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Asante mkuu
 10. W

  Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

  Asante mkuu... Naomba unifafanulie specifications ambazo zitanijulisha hii friji itatumia units chache za umeme.
 11. W

  Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

  Habari ndugu zangu.! Nina mpango wa kununua friji isiyozidi Lita 200. Napata shida katika kuchagua kwa kuwa sina uzoefu, Naomba mnisaidie kutambua sifa za friji ambayo haitatumia umeme(units) mwingi na jinsi ya kukagua dukani friji kujua hizo sifa. Nipeni uzoefu katika hili.
 12. W

  Wa kwanza atakuwa nani?

  2
Top Bottom