Search results

 1. N

  INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

  Kwa Mwanza mna ofisi wapi??
 2. N

  Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

  Fanya biashara ya mchele pekee ukiweka zaidi labda maharage tu tena kwa kidogo sn. Nafaka zingine zinashikilia hela kwa muda mrefu, mchele ndo nafaka yenye mzunguko mkubwa na pesa yako muda wote utakuwa unaiona.
 3. N

  Wanaojitolea mashuleni waache mara moja la sivyo serikali haitaona umuhimu wa kuajiri.

  Kujitolea kupo kwa aina mbili: kuna ile unapata walau kitu kidogo na kuna kujitolea bila kulipwa chochote. Kwa ile ya kulipwa kidogo hiyo kwa upande wangu inakuwa n kazi kama kazi zingine tu bt hii ya bila chochote ndo yenyewe sasa ambayo ndo ingekuwa kwenye mjadala huu ingeleta tija. NB: Kama...
 4. N

  Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

  TAMISEMI wao wenyewe ndio wanaotengeneza hili tatizo la rushwa kutokana na vipaumbele vyao ktk utoaji wa ajira. Hiki kipaumbele cha kujitolea ni hatari sana ni mwanya mkubwa Sana wa rushwa n vyema kingeachwa mara moj Mfumo mzuri usio na makandokando ambao hata huko nyuma ulitumika ni ule wa...
 5. N

  Naomba kujuzwa App ya kurudisha picha zilizopotea

  Wadau naomba mwenye kufahamu App inayoweza kunirejeshea picha za zamani nilizopoteza kwa simu nilizotumia zamani zikapotea, ila email nayotumia ni ileile kwa simu zote zilizopotea.
 6. N

  Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

  Iko hv, biashara ya mchele ni ya faida ndogo sana nadhani ndiyo nafaka inayozunguka kwa faida ndogo zaidi almost huwa inacheza kwenye 100 au 200 mara chache sn(kwa jumla), hiyo yako ya 350 itakuwa ni neema km umejiridhisha na ushindani wa soko. Kinachofanya watu waipende biashara hii n kwamba...
 7. N

  Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

  Luaga Mpina alokuwa waziri wa mifugo na uvuvi na kipenzi cha Magu cjui kimetokea nn!
 8. N

  Nahitaji Gari ya mizigo kutoka Mwanza kwenda Babati

  Wadau naomba mwenye connection ya magari yanayojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Mwanza kwenda Babati tuwasiliane.
 9. N

  Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

  Ndivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
 10. N

  Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

  Mkuu shukrani sn kwa maelezo yako ya kitaalamu.
 11. N

  Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

  Shukrani sn kwa usha Mahakama itajiridhisha vipi kwamba huyo bwana ana mali?? Au ikiwa ana mali lakini akakana kuwa sio zake nn kitafanyika kuthibitisha kuwa n mali zake??
 12. N

  Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

  Shukrani mkuu. Vipi ikibainika hana mali yoyote ya kushika??
 13. N

  Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

  Ndugu wadau wa sheria nmekuwa na kesi ya madai, mimi nikiwa mdai. Miezi 6 iliyopita nilitafuta fundi welding nikampa kazi na pesa jumla tsh 1,200,000 ili anitengenezee fens za kuweka juu ya ukuta wa ngome ya nyumbani kwangu. Kilichotokea fundi hakufanya chochote km nilivyotarajia. Nilichukua...
 14. N

  Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya teuzi, amteua Mhandisi Mwita kuwa RC Njombe

  Huyo aliyekuwa ameteuliwa ikiwa alikuwa amechinja hadi ng'ombe ya kufurahia uteuzi vipi atalipwa hiyo hasara!!
 15. N

  Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

  Me naomba msaada kwa mwenyewe raman nzuri anitumie walau nianze taratibu kupiga hatua. Natanguliza shukrani
Top Bottom