Search results

 1. PISTO LERO

  Wananchi wanaposhindwa kuitetea demokrasia, nini madhara yake?

  Naomba ufafanuzi Ni nini madhara ya demokrasia kubakwa huku wananchi wakiangalia bila kufanya jambo lolote kutetea hakiyao? Inatuma ujumbe gani kwa mataifa wahisani pale demokrasia inapobakwa na wananchi kushindwa kuitetea?
 2. PISTO LERO

  Unahitaji nini kianze na kwanini kati ya Katiba mpya au Tume huru ya uchunguzi?

  UNAHITAJI NINI KIANZE NA KWANINI? KATIBA MPYA AU TUME HURU YA UCHAGUZI
 3. PISTO LERO

  Tunakaribia kuaga mwaka 2015 ni kitugani hutakisahau katika siasa za mwaka huu?

  Tunakaribia kuufunga mwaka 2015,ni mengi yametokea ya kufuraisha na kuhuzunisha pia,wewe kama mtanzania ni lipi utalikumbuka sana katika mwaka huu.
 4. PISTO LERO

  CHADEMA ife ili chama kingine kiibuke au kijirekebishe?

  Ni wakati wa kujiuliza je? Tutaendeleza utamaduni ule ule,wa vyama vya upinzani kung'ara na baadae kupotea? Au tunajirekebisha na kujenga upinzani mmoja ulio thabiti ? Kama ndivyo huu ndiyo wakati mwafaka wa kuikemea na kuirekebisha chadema,ikiambatana na kuionya isishupaze shingo maana...
 5. PISTO LERO

  Robert Mugabe: Raila Odinga akikanyaga Zimbabwe nitamkamata na kumhasi

  Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemshambulia kwa maneno mwanasiasa mkongwe wa Kenya ambaye pia ni kiongozi wa chama cha CORDS huku akimpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hiyo. Akizungumza huko Marondela katika hafla iliyowahusisha wanajeshi walioshiriki katika vita mbalimbali, Mugabe...
 6. PISTO LERO

  Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

  Pole sana KAMANDA Nusrat Hanje Wewe ni mpambanaji na daima kwangu wewe ni mshindi,nafahamu harakati zako toka ukiwa UDOM ulipambana sana hata baada ya kuhitimu chuo hukuacha mapambano ulipigania usawa wa vijana na akina mama. Wakati mwingine hizi harakati zilipelekea kuhitilafiana na wazazi...
 7. PISTO LERO

  Ni lazima serikali ijibu kashfa hii ya kuanguka kwa chopa

  NI LAZIMA SERIKALI IJIBU KASHFA HII YA KUANGUKA KWA CHOPA NA KUPOTEZA MAISHA YA WAPENDWA WETU. Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuelezea chanzo cha ajali iliyochukua maisha ya Filikunjombe na wenzake, lakini Mwananchi iliongea na mtaalamu wa mambo ya ajali za anga kutaka kujua sababu za ajali...
 8. PISTO LERO

  Mtoto wa Kombani kuwania ubunge

  Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ulanga, kimemchagua mtoto wa kwanza wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi), Celina Kombani, Godluck Mtinga kuwania ubunge katika Jimbo la Ulanga Mashariki. Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Mathias Mbogo alisema Mtinga (pichani) aliibuka kidedea...
 9. PISTO LERO

  Tutafakari pamoja kuhusu hili la kufoji mikutano ya kampeni za CCM

  Nashindwa kuelewa kama chama kina hamisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ili kuonyesha uma wa watanzania na kimataifa kuwa wamejaza watu kwenye mikutano hivyo wanakubalika. Hivyo? Hata wakiiba kura itakuwa ni vigumu kuwaelezea uma wa kimataifa kuwa chama hiki hakikubaliki kwasababu...
 10. PISTO LERO

  Ni wanasiasa gani unafikiri watanzania wanatakiwa wasiwaamini hata kidogo

  Kuna baadhi ya wanasiasa Tanzania wamekuwa wakicheza na akili za watanzania, kwa maslahi ya chama tawala, ni wanasiasa ambao watanzania wanatakiwa kukaa nao macho kwasababu hawaaminiki hata kidogo hawana malengo ya dhati ya kuwasaidia watanzania zaidi ya kucheza na akili zao na kuwapotezea muda...
 11. PISTO LERO

  Simu tv: Huu ni mradi wa nani?

  Mwanzo walianza vizuri waliweka habari bila upendeleo, lakini sasa hivi habari pekee ni zile za ccm tu imekuwa chombo cha kueneza propaganda za star tv, tbc, na wakati mwingine ukiona habari ya azam tv basi inahusu ubaya wa ukawa tu. Hawadhubutu kurusha habari za itv
 12. PISTO LERO

  UKAWA Arusha: Wameanzisha staili kutengeneza nywele (UKAWA staili) wake na waume

  Hii ndiyo habari ya mujini shime kwa wana ukawa wote.
 13. PISTO LERO

  UKAWA: Mnanjia mbili tu za kuchagua Kushindwa KWA Kishindo au Kushindwa Uchaguzi

  MKAKATI WA CCM FUNGU LA KUKOSA; Kwa kamati hi iliyoundwa na ccm ni wazi malengo yake ni kuwalazimisha ukawa kujikita zaidi kwenye kujibu tuhuma dhidi ya lowasa. Ukawa mkijisahau mkaingia kwenye mkenge huu imekula kwenu.ccm hawana jipya hata ukiangalia kwenye ilani yao ya uchaguzi hakuna kipya...
 14. PISTO LERO

  Maghufuli atolewa uvivu

  NI BINGWA WA KIJITUNGIA SHERIA https://video-bru2-1.xx.fbcdn.net/hvideo-xft1/v/t42.1790-2/11818938_1609051656034068_1181 989959_n.mp4?efg=eyJybHIiOjQxM CwicmxhIjozNzQzfQ%3D%3D&rl=410 &vabr=228&oh=6fb8d146619fff 94e 25dbb47d1d4187b&oe=55D3408D
 15. PISTO LERO

  Ni vyema kutafuta amani ya ndani ya roho kwanza la sivyo muda wa CHADEMA kung'ara unahesabika

  wana ukawa naona ni vyema tukaanzia hapa KAMA DR.SLAA KWELI ALITOA MASHARTI HAYA AMBAYO KI MANTIKI SIONI UBAYA WAKE KWANINI YASITEKELEZWE. KUNA UBAYA GANI KWA LOWASA KUIKANA CCM NA MAKANDOKANDO YAKE HADHARANI ILI KUPATA AMANI YA NDANI YA CHAMA? CHADEMA BADO NI CHANGA NA INAMHITAJI SANA DR...
 16. PISTO LERO

  Nashindwa kuelewa akili ya Magufuli inafanyaje kazi

  Kwa hesabu za kadirio la chini kabisa laptop moja 500,000/~ kijiji kimoja kina wastani wa walimu 10(shule za kata) Jumla tsh 5,000,000/~ kwa kijiji. Jumlisha na ahadi ya 50,000,000/~ kwa kila kijiji jumla tunapata 55,000,000/~ Haya sasa tz kuna vijiji/kata zaidi ya 12,000/~ zidisha mara milion...
 17. PISTO LERO

  Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

  Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama. Nitawawekea picha baadae kidogo. Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
 18. PISTO LERO

  Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

  Sala zenu zinahitajika watanzania ============================== ===== Updates Mbowe-Tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba sis tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari. Mbowe-Chama hiki hatukiendeshi kwa siri, tunakiendesha kwa mikakati...
 19. PISTO LERO

  Lowassa kurejesha fomu kesho

  Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari, wanachama, wafuasi, wapenzi, mashabiki wa CHADEMA na umma wa Watanzania kwa ujumla kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho Agosti 1, 2015 atarejesha fomu...
 20. PISTO LERO

  Ndugai kufikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga Dk. Joseph Chilongani, atishia kujitoa CCM...

  JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kwamba limeisha kamilisha jalada la kumshitaki Naibu Spika Job Ndugai kutokana na kumpiga mgombea mwenzake wa CCM, Dk. Joseph Chilongani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma… (endelea). Akizungumza Mwanahalisione Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David...
Top Bottom