Search results

 1. James88

  Hii ndio dawa kama demu wako akikuambia umkopeshe hela

  Hii dunia haiishi vituko. Mabaharia siwawezi, nimewanyooshea mikono.
 2. James88

  CLASSICAL WOMEN Vs MODERN WOMEN

  Classical Women wako poa sana, Ila wengi ni wafia dini na hakawii kukubania papuchi ila akaenda kumpa Baba Mchungaji wake. Pia wanapenda sana kushinda Church. Pesa zao nyingi huwa zinaishia kanisani. Ila ukimpata ambaye siyo mfia dini aisee oa haraka sana sababu huyo lazima atakuwa anajielewa...
 3. James88

  Baada ya uumbaji wa Mungu, Engineers wanafuata

  Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers. Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa...
 4. James88

  Hatimaye kampuni ya Huawei kuruhusiwa kuendelea kununua teknolojia kutoka Marekani

  https://edition.cnn.com/politics/live-news/g20-june-2019-intl-hnk/h_6f86ba7a80e65af7ce7ab2984e5058c7 Kutoka G20 Summit inayoendelea huko Osaka, Japani, Rais wa Marekani Donald trump amesema ataruhusu kampuni ya huawei kuendelea kununua teknolojia kutoka Marekani kama ilivyokuwa hapo mwanzo...
 5. James88

  NUMBERS DON'T LIE: HUAWEI BADO ANAKUWA KWA KASI SANA PAMOJA KUFUNGIWA SOKO US NA CANADA

  I'm suprised na hiki nilichokiona kwenye mitandao mbali mbali. Itakumbukwa mwaka jana Q2 mpaka Q3 Huawei alitikisa sana soko la smartphones hasa kutokana na kurelease brand zake za huawei p20 series(p20 pro, p20 and p20 lite). Tukashuhudia akitoka 3rd place na kuwa 2nd place nyuma ya samsung...
 6. James88

  Kwanini ni muhimu sana kutenda haki

  Watu wengi sana wamekuwa wakituhusia kuhusiana na swala la kutenda haki. Wazazi, Viongozi wa kidini, Viongozi wa kiserikali na makundi mengine mengi... Lakini swali ni Je ni kwanini ni muhimu kuyenda haki? Kuna Usemi mmoja wa kizungu unasema "what goes around comes back around", maana halisi...
 7. James88

  Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV

  Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo. 1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na mbaya zaidi wanafanya hivyo watu ambao hata hawazijui hata backgrounds zao amd yet...
 8. James88

  HAKUNA MTANZANIA ANAYEIOMBEA NCHI MABAYA

  Ninasema hivyo kwa sababu hata hayo mabaya yakifika hakuna mtu ambaye atakuwa salama, Labda nijaribu kutoa mfano, Kuna baadhi ya watu wanasema kwamba nchi yetu inaweza ikaja kukumbwa na balaa la njaa hasa kutokana na kudorora kwa bei ya mazao especially mahindi, Tumeona bei ya gunia la mahindi...
 9. James88

  URGENT: Nahitaji kusafirisha trekta kutoka mbeya kwenda Mwanza

  Habari wanajukwaa, Kama title inavoelezea, kuna trekta lipo Mbeya and ninahitaji kulisafirisha kuelekea Mwanza. Nahitaji msaada wa gari ambalo liko empty ili niweze kulisafirisha. Kama unaweza kunisafirishia, tunaweza kuongea biashara. Kwa kurahisisha unaweza kunicheck kwa 0673319105 Karibuni
 10. James88

  Katika hili Google wamefanikiwa sana

  Kwanza naomba tu nikiri kwamba sina muda mrefu sana tangu nimezifahamu simu za Google pixel, nilianza kuijua simu ya google pixel 2Xl, baada ya kuwatch video fulani youtube ambapo Kuna jamaa mmoja anaitwa Lew (Channel yake inaitwa Unbox therapy) aliwakusanya Youtubers wenzake ambao huwa...
 11. James88

  Hi-silicon kirin 980

  Kwa ambao mtakuwa mnafatilia processor za Hi-silicon kirin. Mnaweza kuona kwamba nayo ni moja ya processor nzuri na mtumiaji mkubwa wa hii processor amekuwa ni Huawei kwa sehemu kubwa. Tumeshuhudia device kama Huawei p20 pro ambayo ina processor ya Hi silicon kirin 970 ikifanya vizuri katika...
 12. James88

  Natoa mafunzo ya forex kwa wanaoanza

  I have decided to give kile nilichokuwa nacho kuhusiana na forex trading. Sina experience kubwa sana sababu na na mimi ni mmoja ya watu waliojifunza baada ya Ontario kuwa ameweka bandiko lake mwaka jana mwezi wa 5. The only thing you will need to have is smart phone or a computer with an...
 13. James88

  SAMSUNG FANBOYS NAONA HILI LINAPITA KAMA HAMLIONI VILE

  Hili la note 9 huyu mpaka kafungua na Kesi kabisa Woman sues Samsung after Note 9 phone 'burst into flames' inside purse Not(e) Again - Samsung Sued By User As Galaxy Note 9 Bursts Into Flames In New York na lingine hili la s7 edge... Another Samsung owner says phone EXPLODED – almost...
 14. James88

  Simu nilizowahi kutumia for the past two years

  SAMSUNG s4 moja s5 zaidi ya 5 j5 zaidi ya 5 note moja note 2 tatu note 3 zaidi ya 5 grand prime plus moja note 4 moja note 5 tatu HUAWEI p7 mbili p8 1 p8 lite zaidi ya 5 gr5 gr5 2017 p10 plus(Huyu mnyama ndo namtumia mpaka sasa) SONY z1 moja z2 mbili z3 tatu z3+ moja z5 mbili IPHONE 4s moja 5...
 15. James88

  Kama kushinda makanisani kungeleta maendeleo, basi Nigeria ndio ingekuwa nchi yenye maendeleo makubwa duniani kuliko nchi yoyote.

  Sisemi kwamba watu wasimuombe Mungu, la hasha. Dini zimetufanya sisi waafrika tumekuwa wapumbavu, na hili liko wazi kabisa. Mtu anaspend muda wake mwingi kanisani badala ya kufanya kazi. ambapo makanisa mengi ni miradi ya watu. Watu wanabaki kuwa maskini miaka nenda miaka rudi wakati viongozi...
 16. James88

  Natamani sana kuishi mkoa wa Tanga

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani sana kuishi mkoa wa Tanga especially wilaya yenyewe ya Tanga mjini. Nmewahi kwenda mwaka 2014 na somehow nilivutiwa napo japo sijajua baadhi ya vitu katika wilaya hiyo... Please kwa ambao mnaexperience yoyote ya kuishi Tanga especially Tanga mjini, you may...
 17. James88

  JINSI MWANGA KUTOKA KWENYE SIMU, KOMPYUTA NA TV UNAVYOWEZA KUPELEKEA UPOFU KATIKA MACHO YETU

  Habari Wanajukwaa Siku ya leo asubuhi katika pitapita zangu youtube nikakutana na video moja kutoka kwenye channel inaitwa Unbox therapy( Kwa wale ambao mtakuwa mnafatilia unboxing za simu mpya basi ni lazima utakuwa unamfahamu huyu jamaa). Hiyo video ilikiwa na title ambayo imeandikwa hivi...
 18. James88

  JINSI MWANGA KUTOKA KWENYE SIMU, COMPYUTA NA TELEVISHENI UNAVYOWEZA KUSABABISHA UPOFU KWENYE MACHO YETU

  Habari Wanajukwaa Siku ya leo asubuhi katika pitapita zangu youtube nikakutana na video moja kutoka kwenye channel inaitwa Unbox therapy( Kwa wale ambao mtakuwa mnafatilia unboxing za simu mpya basi ni lazima utakuwa unamfahamu huyu jamaa). Hiyo video ilikiwa na title ambayo imeandikwa hivi...
 19. James88

  Naomba kufahamishwa mabasi yanayofanya safari za Dar kwenda Songea kupitia Lindi

  Naomba kufahamu kama kuna mabasi ambayo yanaanzia safari zake Dar hadi Songea moja kwa moja via Lindi. Naomba kuyafahamu kwa majina kama yapo. Yapi ni mazuri na nauli zake zimekaa vipi? Je, yanaanzia safari Ubungo au Mbagala? Nadhani ni hayo tu.
Top Bottom