Search results

 1. HARRISON ONE

  TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

  Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo. Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya...
 2. HARRISON ONE

  Waendesha bodaboda kutoa sight mirror na kukunja steering handle

  Wadau naona kuna tabia ya waendesha bodaboda ya kutoa sight mirror na kukunja steering ya pikipiki, hali ambayo kiukweli inahatarisha usalama wa yeye mwenyewe na hata pia abiria wake. Mantinki ya kufanya hivyo Ni Nini hasa?
 3. HARRISON ONE

  At last u have got a husband of ur choice!!

  hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia nzuri,mrembo.maji ya kunde mrefu wastani,mwenye ideas nzuri za kufanya maendeleo,kujenga familia bora na...
 4. HARRISON ONE

  Msaada: iPad 3 imezima ghafla

  Nina iPad 3.ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa.imezima ghafla na haitaki kuwaka!! Wataalam msaada wenu unaitajika.nawasilisha
 5. HARRISON ONE

  Huu ndio wizi wa vodacom mpesa!!!

  Toka juzi majira ya saa kumi jioni Mtandao wa vodacom mpesa umekuwa haupatikani na hata ikitokea umebahatika kupata menyu ya mpesa bado ilikuwa ni vigumu kutoa au hata kuweka fedha kama ambavyo imezoeleka!! vodacom mpesa kwa makusudi kabisa wakijua kuwa mtandao wao una matatizo bado waliendelea...
 6. HARRISON ONE

  Micro drones uwanja wa uhuru!!!

  Nimependa matumizi ya vifaa hivi katika kufanya doria uwanjani!!! kwa yeyote aliyekwisha kuona picha zinazopigwa na drones hizi popote pale ataungana na mimi kuhimiza matumizi yake hasa katika kupambana na uhalifu!!nawasilisha
 7. HARRISON ONE

  Maji ya wiper ya kioo cha gari yanaruka sana.

  Siku ya leo wakati naelekea ofisini kwangu,nilisimamishwa na askari wa usalama barabarani ambaye aliomba akague gari yangu!!!alianza na kuniomba leseni nikampa!! akatizama akarudisha!!! akatizama road licence na bima iko safi!!akaomba niwashe taa kubwa na indicator.zote safi!!! akatizama taa za...
 8. HARRISON ONE

  Matumizi sahihi ya simu za mikononi

  Imekuwa ni tabia ambayo wengi wetu imetokea kutukera kutokana na matumizi ambayo binafsi naamini si sahihi ya matumizi ya simu za mikononi,tabia hizi ni pamoja na -kuongea kwa sauti za juu kupita kiasi ukiwa kwenye mikusanyiko ya watu.mf kwenye daladala! -unapompigia mtu akawa anakata simu,na...
 9. HARRISON ONE

  Vijana wenzangu tufanye mazoezi, lift zina wakati wake!!

  Nipo hoteli moja hapa dar es salaam maeneo ya sinza!!chumba nilichopo kiko ghorofa ya tatu tu!!! asubuhi hii natoka chumbani nikijiandaa kwenda restaurant ambayo iko ground floor!!! Kuna jambo lilinishangaza kidogo!!! kwenye mlango wa lift kulikuwa na vijana kama watano hivi wenye umri wangu...
 10. HARRISON ONE

  Tabia ya kushangaa!!

  watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kushangaa mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au jingine yaweza kuwa ni ajali,ugomvi,ujambazi wakiteka au kuvamia benki na hata wakati mwingine burudani mbalimbali,tabia hii wakati mwingine yaweza kuleta maafa ikiwa kitu au jambo husika ni cha...
 11. HARRISON ONE

  Kati ya TRA na Wafanyabiashara,nani anataka kumtapeli mwenzake!!!

  ni kuhusu hizi mashine za electronic fiscal devices(EFD)!!je mfanyabiashara anataka kukimbia kodi atakayopaswa kulipa iwapo atatumia mashine hizi,au TRA inataka iwauzie wafanyabiashara EFD kwa bei mbaya then ipate kodi ya kutosha nawasilisha
 12. HARRISON ONE

  Tukope kwa busara!!!

  kukopa si jambo baya sana pale ambapo mkopo husika utatumika katika kuleta suala la maendeleo kwa mtu binafsi,jamii,na hata taifa kwa ujumla,na hata nyingi ya biashara kubwa na hata makampuni makubwa ni matokeo ya kukopa fedha toka katika mabenki na kutumika kama ilivyokusudiwa.Miongoni mwa...
 13. HARRISON ONE

  Unafikiri ni kwa nn hufanikiwi kimaisha!!!!

  hili ni swali ambalo naamini wana jf wengi huwa wanajiuliza sababu ninazoona mimi ni kuwa 1)haujibidishi vya kutosha katika kutafuta mafanikio 2)mfumo wa malezi yako toka utotoni ndio unaokufanya usifanikiwe 3)unajibidisha katika mambo yasiyo na faida 4)hujui kwenye maisha yako unahitaji nini...
 14. HARRISON ONE

  Min laptop inahitajika

  Nahitaji min laptop brand yoyote,iwe ni touch screen,iwe na port ya HDMI,Iwe na webcam, ukubwa 350 gb 2gb Ram,aliye nayo ani pm
 15. HARRISON ONE

  Kipande cha barabara toka sumbawanga hadi mpui ni majanga!!!

  nadhani wana jf picha zinajieleza,tuombe mungu ujenzi wa kipande hicho ukamilike kwa wakati
Top Bottom