Search results

 1. sawe4u

  Naomba kueleweshwa kipimo cha mita za mraba(M²) zinakuwaje katika kipimo cha hatua

  Wakuu nishazoea kupewa ukubwa wa viwanja haswa vinavyouzwa kwa hatua, mfano 20 kwa 30 sasa mfumo wa sasa ndio nakosa nao uhalisia kabisa Nilifika ofisi moja ya ardhi nikapatiwa kiwanja ambapo plot zao wameanisha kwa m² Nakapenda kimoja chenye 565 m². Je ukubwa huu naomba mnipe kwa hatua hata...
 2. sawe4u

  Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

  Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara) Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile...
 3. sawe4u

  HII TOO MUCH SASA NIMFANYIE NINI

  Habari wadu , sasa ni mwaka 2 tangu kushindwa na kumuacha mzazi mwenzangu (mama wa mtoto wangu ) kutokana mienendo yake ambayo kijamii na kidini na kinadamu hakuna binadamu angeweza vumilia (japo hatukufunga ndoA) Tangu mwez huu umeanza huwa anapenda kuja kwangu na kuniletea mtoto wangu ambako...
 4. sawe4u

  Dereva auawa wakati majambazi wakijaribu kumuibia gari

  Majambazi wamekodi Gari maeneo ya ubungo liwapeleke morogoro,njiani waanza kumchoma visu ili waibe gari,bahati kwa nyuma likatokea Gari kutoa msaada majambazi wakakimbia ila dereva amefarik (Pcha zmetolewa)
 5. sawe4u

  Tuwajulishe na kuwakumbusha mabinti zetu..

  Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa. Nazo ni: 1) Sare ya shule 2) Joho la Graduation 3) Gauni la Harusi 4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito) Hata hivyo, Mueleze Kuwa Kama Akiruka Ya Kwanza Hatapata Nafasi Ya Kuvaa Ya Pili. Mueleze Kuwa...
 6. sawe4u

  MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

  BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu. Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)? 1. Boxer 2. SANLG 3. Feckon 4. TVS King 5. Hero 6. King Lion 7. Houjo --- --- --- BAADHI YA MAONI...
 7. sawe4u

  Hali ya zao la Korosho sokoni

  *Hii taarifa imeanzia ivory coast* Cashew nut farmers and exporters in Ivory Coast are seeing a slump in sales as Vietnamese exporters try to get out of contracts following a drop in world prices, an official said on Tuesday. Ivory Coast is the world's top cashew nut producer with output of...
 8. sawe4u

  Natafuta picha za North Mara gold mining (Tarime)

  Wadau baada ya kukomaa na kuandika sasa nahitaj msaada wenu kwa MTU yoyote ambae anapicha za eneo hilo na mkodi anitumie, Nahitaji picha ambazo zitaonyesha mazingr ya ya nje Mazingr ya wa kazi wanaozunguka maeneo hayo Na mazingr yario athiriwa na uchimbaji Note naomba picha hizo uwe ulipga...
 9. sawe4u

  Kipi bora kati ya mtaji mdogo na mkopo kwa ajili ya biashara?

  Mr. & Mrs na vijana wengine Naomba ushauri wenu niko njiani kuanza biashara ya biashara ya Tgo pesa na mtaji niliokuwa nao ni (Tsh300000] tuu je nianze na mtaji huu mdogo au niongee kwakuchukua mkopo japo mahitaji ya eneo hili wateja wa aina zote wapo (wa pesa kidogo na kubwa )
 10. sawe4u

  NAOMBA KUJUA KUHUSU UNUNUA WA VIWANJA AMBAVYO HAVIJAPIMWA

  Jana nilifanya matembez katika vijiji kadhaa (w) Newala ila sasa nimekuta kuna vijiji watu wanauza viwanja bei rahisi sasa wasi wasi wangu ni 1>viwanja vile havijapimwa so kama nikinunua serikali wakija pima waninyang'anya au..... 2:-Kuna taratibu gan kama nikinunua nifanye ili viwe salama kbsa...
 11. sawe4u

  Nahisi nimechoka kukaa bila mke

  Habar wadau , kila miezi na mwaka unaposegea nahisi kuzongwa na majukumu mengi kazin na kuweka majukumu binafsi ya maisha ila kila kila ninapojaribu kupangalia mambo yangu yote ya ki ofc na majukumu binafsi na kuwana nabanwa na kazi hadi na kuwa nachoka ina pelekea ata ninaporudi kwangu naona...
 12. sawe4u

  Wanawake kuwa na mtoto anayelelewa na baba wa 3 au 2 ndio tamaa za pesa au ndoa?

  Ndugu zangu, vijana wa kiume muwe makini sana haya ninayoyasema sio ya kusikika nimeyaona na yamenikuta yapo mimi ndio bilgc father. Kwanini wasichana wa karne hii hasa wenye kazi (check no ) mnapopata mimba mnawashirikisha wanaume ulikuwa nao wote katika mahusiano wanalea mimba hadi mtoto...
 13. sawe4u

  Leo naungana na tafiti na misemo yote duniani kuwa mwanamke hasomeshwi

  Leo naungana na wengine dunia walioumizwa na wanawake ambao waliwahudumia lakini mwisho wa siku waliachwa bila ya kuona Tone la huruma kutoka kwa wenza wao wa zamani. Nasema haya kwa huzuni kubwa kwani imenibidi nimuache mwanamke ambae nimezaa nae kwa bahati mbaya na nikawa nawahudumia kama...
 14. sawe4u

  Mwanamke anapotaja jina la mwanaume mwingine mkiwa faragha

  Pale unapokuwa faragha na mpenzi wako halafu akataja jina la mshikaji mwingine inamaanisha kuwa umem-do kiwango sawa na huyo jamaa alie mtaja au nini? Halafu unamuulza anakwambia ni jirani yake amemzoea (ila hata mimi nilishawahi kutajwa jina na mwanamke wa rafiki yangu wakati wako kwa...
 15. sawe4u

  DNA

  Habari wana jf naomba unijuze kwa wale wenye kujua juu ya swala zima LA kipimo cha DNA hasa katk kujua ukweli wa mtoto kwa wale watu wa afya na ambayo tiyara wanataarifa kuhusu kipmo hiki Swali:kipimo hiki huitaji sampuli Tatu(baba,mama na mtoto) Au huweza kufanyika kwa kutumia sampuli...
 16. sawe4u

  Naomba ushauri, nimelea mimba amejifungua ananiambia mtoto sio wangu

  Hivi unapolea mimba na hadi mwanamke anajifungua na kumlea mtoto ila mnapokuja kugombana anakwambia mtoto si wako, hivi hapo mwanamke huwa anamaanisha nini na anahitaji kufanyiwa nini? Hasa hawa wanawake walioajiriwa. Huwa wanatafuta kulogwa au? Mtu umeachana nae ila anaanza kukwambia tena...
Top Bottom