Search results

 1. N

  Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

  Wanajamvi, Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa...
 2. N

  Anatafutwa Dereva mzoefu wa Tax/Uber/Taxify

  Wadau Anatafutwa derive mzoefu wa Taxi ( pia Taxify,Uber nk)DaresSalaam ili nimkabidhi gari kwa ajili ya biashara ya Taxi, awe na sifa zifuatazo; Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi hiyo hapa DSM Akiwa na abiria wake tayari wa zamani atapewa kipaumbele zaidi hasa kwa wale wa Taxi za kawaida...
 3. N

  Nimekutanishwa na binti wa mchepuko wangu(mke wa mtu) ,inahitaji moyo sana

  ===UPDATES== Yametimia...lakini haikuwa rahisi sababu alisema hanywi pombe halafu ana mitihani kuanzia tarehe 8 Julai hivyo hantokaa sana anakwenda kujisomea.....nikambembeleza sana akakubali kunywa Saint Anna wine chupa moja na samaki wa foil mkubwa na chipsi....mimi nilikuwa nagonga KVant...
 4. N

  Nandy tunasubiri ukweli wa maneno yako

  Kwenye wimbo wako wa Ninogeshe kuna maneno yanayosema 'Ukizikwa nizikwe na wewe ' ..'Nikizikwa uzikwe na mie'..mbona hatukuona utekelezaji wake wakati wa tukio la karibuni? Au ulikuwa unatania?
 5. N

  Nipo kwenye utumwa wa mapenzi wa kujitakia, naomba ushauri

  MREJESHO!!!! Wadau Nashukuru sana kwa maombi yenu...jana Alhamisi jioni jamaa alimtumia hela mkewe laki mbili ili aache kwao na nyingine afanye nauli...amewatumia laki moja ili kuwaziba mdomo nyumbani kwao(aliwaahidi)kwani kuna shangazi yake mmoja ndiyo mnoko lakini uzuri jamaa hawezi kumpigia...
 6. N

  Baada ya kuona virungu vya akina dada vimezidi ,nimechukua uamuzi ufuatao;

  Moja kwa moja kwenye mada.Naona kila demu sasa ukimtokea kuna wengine wanakupa kwanza papuchi halafu wanaanza kukumwagia invoices .Vilevile kuna wengine wanakuletea kwanza invoices kabla ya kukupa papuchi...Sasa ili nipate thamani ya pesa yangu nimeamua kuwaingiza kwenye mchakato wa...
 7. N

  Watakaotoswa leo kwa ajili ya Valentine tukutane hapa

  Hapa naongelea akina dada ambao leo wataachwa solemba au watatoswa na wapenzi wao leo,au wanajiandaa na nguo zao nyekundu lakini jamaa hatokei ...Hilo haliepukiki...karibuni kwangu leo niko free.
 8. N

  List ya Mastaa wa kike wabongo wasiohitaji make ups

  Kuna baadhi nawajua tangu kitambo kabla hawajawa mastaa, kuna wengine nishakutana nao kwenye maeneo ya kistaarabu kama vile wakiamka baada ya kulala misibani ; 1. Elizabeth Lulu 2.Kajala(enzi zile ananyoa tu,hasuki) 3.Sanchoka (wa kitambo kile) 4.Shamsa Ford 5.Kidoti 6.Sepenga (wa zamani) 7...
 9. N

  Hivi wimbo wa nyegezi umepigwa marufuku wapi?

  Ukienda kwenye mabaa , shoo za promotions mbalimbali , disco , pubs ..kila mahali ni nyyegezi kwenda mbele.. mitaani watoto wanauimba kama wote......hata waheshimiwa wakiusikia huwa wanatingisha vichwa kwa furaha kama siyo kuruka ruka mfano Mhe. Naibu Spika , naona hata BASATA wenyewe huko...
 10. N

  Njia mpya ya kulipia NHC Bills bado tatizo

  NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo; 1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji wenu...naangalia hapa kwenye website yenu hata helpdesk page haifunguki nimeshindwa kupata msaada...
 11. N

  Kwa wanaume wenzangu mnaotumia muda mwingi kuongea na akina dada/mama

  Hii nawausia wanaume wanaotumia muda mwingi kusogoa na kuongea na akina mama/dada hasa maofisini nk huo ni umama....mara nyingi huwa na nyie mnageuka kuwa na tabia za kimama kwani lazima mtaongea umbea umbea tu tena mbaya zaidi lazima hao wanawake watawachomekea stori za mabwana/waume zao...
 12. N

  Msaada: Contacts zinafutika kwenye phonebook na Google account mara kwa mara

  Wakuu Hili tatizo hii nisimu yangu ya tatu kunitokea.....ingawa synch iko activated....huwa inafanya synchronization lakini baada ya muda fulani unakuta zimefutika kotekote au majina hayaonekani zimebaki namba tu....nimejaribu ku google nimeona kuna watu wengi wana tatizo hili lakini hakuna...
 13. N

  Je, msioamini uwepo wa Mungu, mnaamini uwepo wa Shetani?

  Wakuu, Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza? KAMA SIYO,je haya...
 14. N

  Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

  Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na...
 15. N

  Muda wote nilikuwa najibana ili anione wa maana kumbe bure kabisa

  Jana nilikuwa mahali huku mkoani naangalia mechi ya Simba na Alliance....nikaagiza KVant na Coca cola nikamuomba Mhudumu aniletee pia limao iliyokatwa katwa na barafu ili kitu yangu ishuke kiulaini. Ofcourse Mhudumu alitoa macho akaguna nafikiri alishangaa mambo ya barafu na limao...
 16. N

  Hii ndiyo tofauti kati ya mke wangu na mchepuko wangu

  Kweli ni ngumu sana kuacha kuchepuka sababu hawa viumbe wanatofautiana sana hasa kwenye sita kwa sita; Mke wangu yeye analala kama gogo..,hataki kulamba koni na anaweza akanigombeza au akaongelea mambo tofauti wakati tupo katikati ya malove...mara mbona hujanyoa, mara mbona hutoi ulimi nje, mara...
 17. N

  Je, Kangi Lugola ataweza kuyafukua Makaburi yote?

  Kama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa...
 18. N

  Natafuta turubai au mwamvuli mkubwa kwa ajili ya kivuli nyumbani

  Wadau Nahitaji mwamvuli mkubwa au turubai la kufunga nje ya nyumbani kwa ajili tu ya kuzuia jua au mvua ambapo watu wanaweza kukaa comfortably.Sehemu ninayokaa kuna upepo mwingi wakati mwingine
 19. N

  Kwa nini wanawake vibonge ni rahisi kuwanasa kuliko wembamba?

  Wadau,, Huwa ninajiuliza kwa nini wanawake vibonge na wenye vitambi (hasa wake za watu) huwa ni rahisi sana kuwatongoza na kuwagonga?...au wamechokwa na waume zao sababu ya maumbo yao???.halafu huwa wanamapenzi sana mpaka wanaboa wakati mwingine .Hii ni tofauti na wale wembamba/wakawaida but...
 20. N

  Naomba mawasiliano ya Viongozi wa Vodacom na TCRA

  Wadau ........kampuni yetu ilikuwa na mkataba na Vodacom ambao ulishaisha muda mrefu....sasa hatuna tena mkataba nao lakini wanatulazimisha kutubana na vigezo vya mkataba ambao haupo ....hivyo hatupo free na line/namba zetu binafsi...kwa mfano nashindwa kuswap line yangu sababu ya...
Top Bottom