Search results

 1. N

  Benki ya kilimo(TAB) na Waziri wa Kilimo vina faida gani?

  Ni kwanini ni ngumu sana kupata mkopo kutoka Benki ya Kilimo? Kwanini ili kukopa yabidi muanzishe kikundi ndiyo mpewe mkopo wakati kila mtu ana mopango yake malengo yake? Waziri anafaida gani iwapo anaona kabisaaa matawi ya benki ya kilimo yako miji mikubwa yenye lami na vijijini hakuna hata...
 2. N

  Hawa chachandu wasipochukuliwa hatua kwa haraka tusilaumiane!!

  Hivi kazi ya TCRA ni nini jamani?mtu anaamua kutunga habari hivi ya uongo na wao wanamuangalia tu manake nini? Matapeli wa kwenye simu tena kwa mtandao wa serikali wa TTCL wamewashinda nahawa nao wanaojulikana wawashinde kweli? Rais anadhihakiwa mnaangalia badae mkiwajibishwa mnaanza kulalamika.
 3. N

  TAKUKURU kuwabambikizia watu kesi

  https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1547734/ Ukisoma hapa mtuhumiwa alisingiziwa kesi na boss wake ambaye alikuwa ni mkuu wa takukuru mkoa wa rukwa ndugu hamis mwenda kwa ugomvi wao binafsi juu ya mwanamke. Kwa kutumia cheo chake na kwa kuwatumia rco na mwendesha mashitaka wa mkoa...
 4. N

  Kitengo cha cyber cribe ndani ya Polisi mnatuacha masikini

  Habari wadau, Nianze na kuwapongeza jeshi la polisikwa kazi nzuri wanayoifanya ingawa siyo polisi wote hususani kitengo cha cyber crimes. Lakini kuna tatizo kwa polisi wa kitengo hiki kwani wamegeuza mradi hasa mtu anapokuwa anamtafuta mtuhumiwa wake baada ya kufungua kesi na kisha kuambiwa...
 5. N

  TCRA wachukulieni hatua kali KALOMBA TV

  Habari, KALOMBA TV wamekuwa wanapost habari/za uongo kila kukicha zikiwa na vichwa vya habari tofauti na yaliyomo. Hali hii inakera sana haina haja TCRA kusubiri hadi wananchi walalamike wakati macho mnayo au mnawaogopa. Kila mara mnawafungia Clouds na Tv nyinginezo wakati hawa wajinga...
 6. N

  TAASISI ZA SERIKALI REKEBISHENI ANWANI /MAWASILIANO YENU KWA WAKATI

  Habarini wadau, Kuna kero kubwa sana kwa taasisi nyingi za serikali kutobadilisha anwani zao au anwani za viongozi wake mara wanapozibadili au wanapowabadilisha viongozi husika. Unakuta mwananchi anahitaji kywasiliana na ofisi fulani iliyopo mkoa fulani anaingia kwenye website ya ofisi na...
 7. N

  Kutoa lugha ya matusi kwa njia ya mtandao

  Habarini waheshimiwa, X alianza kutoa lugha za matusi kwa Y kupitia simu yake ya mkononi pasipo Y kutambua X ni nani,Y alimuonya juu ya matusi yake, baadae Y uvumilivu ulimshinda nayeye akatumia lugha ya matusi dhidi ya X na mwishowe Y akamuonya tena X kuwa hataki amutukane lakini aliendelea...
 8. N

  Nafikiria kuanzisha NGO ya kuwasaidia walioshikiliwa korokoroni, mahabusu na wafungwa nchini

  Habarini, Nimefikiria sana jinsi watu wanavyoteseka kwa kukosa dhamana wakiwa polisi na mahabusu na pia wafungwa waliofungwa kwa kuonewa au wanaocheleweshewa kesi zao pasipo sababu za msingi. Pia kuna ambao ni wagonjwa hawana msaada kabisa hasa linapokuja kwa maswala ya matibabu. Kuna ambao...
 9. N

  Kibaoni-Uvinza: Barakoa imekuwa biashara dili

  Habarini wadau, Juzi, jana na leo nikiwa katika shughuli zangu nimepata nafasi ya kupita katika geti lililopo Kibaoni Uvinza ambapo kuna huduma ya upimaji wa joto kwa ajili ya utambuzi wa korona. Kilichonishangaza kwa kweli ni biashara ya kuuza barakoa ambapo baadhi ya vijana wakiwekewa kifua...
 10. N

  NHIF ni taasisi ya ovyo haijawaitokea duniani!!

  Habarini wadau, Katika taasisi mbovu hii imepindukia kiasi cha kuhatarisha maisha ya wananchi. Wamefuta baadhi ya makundi yaliyokuwa wanachama wao pasipokutoa taarifa yoyote kitu ambacho ni usumbufu sana kwa madai kuwa wangeanzisha huduma nyingine mubadala kuanzia tarehe 1/9/2019 lakini...
 11. N

  NAHITAJI MASHINE YA NMB WAKALA HARAKA

  Habarini, Ninahitji mashine ya NMB-WAKALA haraka ambayo imesajiliwa kwa jina lolote, mwenye nayo tuwasiliane kwa pm
 12. N

  Brela acheni jeuri na ucheleweshaji wa huduma kwa makusudi!!

  Habarini, Hili la watumishi wa brela kuwa jeuri na kuchelewesha usajiri kwa makusudi kwa njia ya mtandao imekuwa kero sana kwetu. Mtu unatafuta jina halafu unaandaa nyaraka zote muhimu wanakwambia ulipie unalipia kisha wanasema jina lako linafanana na majina mengine rekebisha unarekebisha baada...
 13. N

  Kuendelea kutoa stakabadhi za mashine za EFD bila kuainisha aina ya bidhaa ni upuuzi tu

  Habari, Namshauri Rais JPM alione hili ,kwa kweli kama anataka kuzuia ukwepaji kodi arekebishe mfumo wa stakabadhi za efd machine hasa kipengere cha kutoandika aina ya bidhaa iliyonunuliwa na jina la mnunuzi. Mtu anauza bidhaa moja mf.tairi anatoa stakabadhi ya bei ya jembe na stakabadhi hiyo...
 14. N

  RPC TABORA KUNA RAIA KAWEKWA NDANI TANGU JUZI!!

  Habarini wapenda HAKI, RPC TABORA TUNAKUJULISHA KUWA KUNA RAIA KAKAMATWA NA KUWEKWA NDANI PASIPO DHAMANA WALA KIFIKISHWA MAHAKAMANKI KWA AMRI YA MAAFISA USALAMA (SO) KWA KESI YA KUVUNJA NA KUIBA NA. TAB/IR/2681/2019, WANAMLAZIMISHA AANDIKE MAELEZO YA KUKUBALI KOSA NA AWALIPE HAO MAAFISA AMBAO...
 15. N

  Namtafuta Dada yangu Monalisa Msuya

  Habarini, Dada yangu huyu aliolewa kigoma na fundi umeme mtumishi wa tanesco kwa jina Kulwa na baadae walihamia Dodoma na hadi sasa wanaishi Dodoma. Yoyote aliye na mawasiliano nae aniunganishe nae,plz!!
 16. N

  Anahitajika aliyesomea elimu ya Bima ngazi ya certicate

  Anahitajika aliyesomea elimu ya Bima ngazi ya certicate. Weka namba yako humu tunakutwangia simu
 17. N

  Takukuru mabadiliko uongozi wa kati ni muhimu sana

  Habarini, Ni wazi nyakati za kujuana kupitia kusoma pamoja,kabiba moja,intake moja na mengineyo umepitwa na wakati. Takukuru ni chombo kinachohitaji mabadiliko ya kiuongozi hasa kuondoa uongozi wa kimazoea ambao ulikuwa unatoa maamuzi kwa makundi. Ninaimani na uongozi wa juu wa sasa utafanya...
 18. N

  Gari yangu inavuma tairi ya mbele kushoto

  Habarini, Gari yangu rav 4 injini manual 3s inavuma mguu wa mbele kushoto ma kuna wakati inaacha nimenadili bearing wapi,naombeni msaada kwa hili tatizo. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
 19. N

  Kinyozi wa kike anahitajika

  Habari, Kinyozi wa kike anahitajika kunyoa ktk salon ya kiume Sumbawanga mjini.
 20. N

  SUWASA Sumbawanga huduma zenu ni za hovyoo!!

  Habarini wadau, Kwakweli ni halali mashirika ya umma kufa kutokana na uzembe na uzito wa kufanyakazi kiasi kwamba wanajivuta sana maongezi binafsi yametawala hawako serious na wateja. Jirekebisheni haraka huduma zenu mbovu kuliko wazito yaani mtumishi unakaa tu kisa fomu za maombi zimeisha na...
Top Bottom