Search results

 1. G

  Msaada Kuhusu HELSB Act

  Habari ya saiz wana jamii. ninaomba msaada wa kisheria katika hili. je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho. 1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au 2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa...
 2. G

  Msaada juu ya Sheria ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB ACT)

  Habari ya saiz wana jamii. ninaomba msaada wa kisheria katika hili. je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho. 1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au 2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa pale...
 3. G

  Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa kodi/tax

  Samahani. Ukiachana na hii rate ya sasa hivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005. Au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu...
 4. G

  Msaada: Mtaalam maswala ya kodi (tax)

  Samahani, Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005 au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu hili...
 5. G

  Tecno c 8 inauzwa

  Bei makubaliano , kama unahitaji kuiona nipm namba yako nikutumie picha watsup,
 6. G

  Msaada juu ya NACTE please

  Nimeingia online regostration ya NACTE but sijaona guide book ya teachers colages , please mwenye nayo naomba sana , naomba aprovide attachent hapa, please kama unayo naiomba as fast as possible, please
 7. G

  Msaada wa TCU guide book

  Samahani kwa aliye na TCU guide book 2016/2017 pdf naomba msaada aitume humu, kama haipo iyo current one basi hata ya miaka iliyopita msaada pia
 8. G

  Msaada jinsi ya kuaply diploma in education

  Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na Nina DEE katika masomo ya HGE, ndoto zangu zilikuwa ni kwenda kuchukua degree ya education lakini kwa mujibu wa TCU mwaka huu sina vigezo. Naomba msaada kwa yoyote anayejua procedure za kuaply education diploma katika vyuo vya serikali ili angalau ndoto...
 9. G

  Umbwe secondary school

  Iyo shule ni nzuri kwa eca combination?
 10. G

  Nishaurini kati ya ECA na EGM

  Wana jf naombeni mnishauri kuhus iz comb mbil ni ip haswa ina market uko mbele.me nimemliza 4m4 mwaka jana 2012 na nmefauru vzur ila xa kuchagua comb ndo kumenichanganya kat ya EGM na ECA celew ip ni baab kubwa na kwasababu na sifa za kuweza kuchukua komb yeyote naomben mnishaur ip ni komb nzur...
Top Bottom