Search results

 1. HARRISON ONE

  Ujenzi flyover chang'ombe /uhasibu

  Kimara nako mapipa mengi barabarani !!! Hawayatoi sijui kwa nn!!!
 2. HARRISON ONE

  TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

  Mshamba ni mtu anayecomment jambo bila kuelewa!!! Mfano halisi ni wewe!!! Elewa kwanza mada .nimeanza kwanza kuwapo geza Tarura nikijua wameweza kufanya priority vzr.barabara hizi ndogo ndogo za mitaani huwa zinasaidia kukwepa jam kwa kiasi kikubwa hasa ukizingatia Dom misafara ya Viongozi ni ya...
 3. HARRISON ONE

  TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

  Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo. Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya...
 4. HARRISON ONE

  Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

  Mtoa mada umenikumbusha Scania 111 enzi hizo zile za mwanamboka!!! Mlio wa gari na namna gia zilivyokuwa zinaingizwa ulikuwa mziki tosha kwa dereva na watu barabarani.ilikuwa gia ikiingizwa watu wanashangilia barabarani kwa namna ilivyokuwa inaita!!!
 5. HARRISON ONE

  Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

  Kul Sent using Jamii Forums mobile app
 6. HARRISON ONE

  Waendesha bodaboda kutoa sight mirror na kukunja steering handle

  Wadau naona kuna tabia ya waendesha bodaboda ya kutoa sight mirror na kukunja steering ya pikipiki, hali ambayo kiukweli inahatarisha usalama wa yeye mwenyewe na hata pia abiria wake. Mantinki ya kufanya hivyo Ni Nini hasa?
 7. HARRISON ONE

  At last u have got a husband of ur choice!!

  hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia nzuri,mrembo.maji ya kunde mrefu wastani,mwenye ideas nzuri za kufanya maendeleo,kujenga familia bora na...
 8. HARRISON ONE

  'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

  Jombaaa!!!!! umepatikana!!! uwe unaangalia mada za kuleta!!! elimu sio biashara sera yetu ya elimu inafafanua vizuri,alichofanya mh.Rais ni kuwarudisha kwenye mstari!!! usiitukane taasisi ambayo inaheshimika sasa kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo!!!
 9. HARRISON ONE

  Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

  Kuna tetesi mbunge mmoja amefariki Dodoma akiwa chumbani kwake hoteli ya rock karibu na ukumbi Wa bunge
 10. HARRISON ONE

  Barabara ya lami yakwanguliwa yote Dodoma

  Hata Mimi ni mtumiaji Mzuri Wa hiyo barabara!! Tena kwa gari ndogo.barabara hiyo kuanzia kwenye taa hizo kwenda hadi jamhuri stadium haikuwa na matuta yatokanayo na mgandamizo Wa malori kiasi hicho.na naamini kama yangekuwepo ukiwa na Gari dogo utayahisi kwa haraka zaidi tena kuliko ukiwa na...
 11. HARRISON ONE

  Msaada: iPad 3 imezima ghafla

  Nina iPad 3.ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa.imezima ghafla na haitaki kuwaka!! Wataalam msaada wenu unaitajika.nawasilisha
 12. HARRISON ONE

  Nzi ndani ya Studio Jiji Letu Jana-ITV

  ah ah ah,kujikausha sio issue!! ingetakiwa apambane nae live watu wote tujue nzi kaingia studio!!!angeingia mdomoni angekausha wakati watu tunamwona anameza nzi mzima mzima?
 13. HARRISON ONE

  Huu ndio wizi wa vodacom mpesa!!!

  wale wa vyuo vya kata utawajua tu
 14. HARRISON ONE

  Huu ndio wizi wa vodacom mpesa!!!

  Nakubaliana na wewe kuwa its the matter of technology!!but kumbuka ili hizo switch kzao ziweze kufanya a particular action it must be COMMANDED to do so!!!hata hizo tsh 50 kwa kila transaction ya kuingia na kuuliza salio tu ni kuwa wameset zikate amount hiyo!!kama ni hivyo basi walikuwa wana...
 15. HARRISON ONE

  Huu ndio wizi wa vodacom mpesa!!!

  Toka juzi majira ya saa kumi jioni Mtandao wa vodacom mpesa umekuwa haupatikani na hata ikitokea umebahatika kupata menyu ya mpesa bado ilikuwa ni vigumu kutoa au hata kuweka fedha kama ambavyo imezoeleka!! vodacom mpesa kwa makusudi kabisa wakijua kuwa mtandao wao una matatizo bado waliendelea...
 16. HARRISON ONE

  Ukatili tena:Hausigeli achomwa na pasi na kung'atwa na meno kwa mwaka mzima.

  huyo mwajiri wake lazima atakuwa anakula nyama za watu,hizo alama za meno zinazoonekana mwilini mwa huyo binti ni za kutaka kutafuna nyama kabisa!!!
 17. HARRISON ONE

  Happy birthday masai dada

  happy birthday masai dada!!!!
 18. HARRISON ONE

  Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA)2014 Live Updates

  Mpoki ni majanga!!!nimeshamfanyia booking ya kitanda mirembe!!!
 19. HARRISON ONE

  Micro drones uwanja wa uhuru!!!

  micro drones hutumika kwa ajili ya kufanya aerial surveillance,aeriel security assesment na sometime hata aerial mapping kwa zile zenye uwezo mkubwa!!!,kwa mazingira ya pale uwanjani ni kuwa ilikuwa inatumika kwa security purpose!!
 20. HARRISON ONE

  Mbaba "Bonge La Mtu" anayepokeaga wageni kwenye sherehe mbali za serikari!

  mzee wa protocol ikulu huyo!!!genius wa kupokea na kupanga wageni!!!
Top Bottom