Search results

 1. Y

  Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

  Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za lazima. Mimi nataka kuanza hii biashara na mtaji wa laki 3 tu. Changia chochote ulichonacho ikiwa...
 2. Y

  Chimbo zuri la Vifaa vya Electronics Zanzibar

  Naomba kujua chimbo zuri la Simu, Laptop na TV za bei za kupoint na imara huku Zanzibar. Naomba ushirikiano wenu wana JF.
 3. Y

  Suti za kukodisha zinahitajika

  Nahitaji suti ya kukodisha kwa ajili ya harusi dar es salaam nipo iwe kama hii 0744377618
 4. Y

  Biashara ya kuku wa kienyeji

  Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, nina mtaji wa laki 2. Nahitaji kuanza biashara ya kuku wa kienyeji kutoa mikoa ya karibu kama Morogoro na Tanga. Ni sehemu gani naweza pata kwa bei nafuu? Nini ushauri wako kwa wazo langu hili? Natanguliza shukrani kwenu wakuu. Nakaribisha maoni yenu wakuu.
Top Bottom