Search results

 1. musa yasini

  Aiyenacho hata kidogo hunyang'anywa

  Inasikitisha sana kuona wanasiasa wetu wanaojiita wazalendo, kuwa na malimbikizo na misururu ya marupurupu na posho starehe, kusinzia, kupiga meza na kupongezana kuchaguliwa tena, tena wakiwa hawakatwi kodi na baada tu ya muhula wao kwisha ,bila kuchelewa, wameshachukua chao. TENA...
 2. musa yasini

  Ushauri wa wazi kwa Wizara ya Elimu na NECTA

  Hili lifike mahala husika.
 3. musa yasini

  You left for the city, you promised to come back to take care of us!

  Nahuzuni moyoni mimi siimbi nalia, Ulituahidi mengi, binafsi nayalilia, "Hapa kazi tu!" ndio kauli uliyotuachia, kwa bidii tulijituma, na mengi tuliachilia, Ulitufundisha uzalendo, kazi kwanza mazuri yangetujilia, Uwajibikaji kwanza, ndo kigezo cha kuinuliwa, Tumbuatumbua, "surgeon" kazi...
Top Bottom