Search results

 1. Erythrocyte

  Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

  Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
 2. Erythrocyte

  Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

  Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote. Kwanza walishindanishwa na...
 3. Erythrocyte

  Utajuaje kama Watu fulani wanaandamana, Tafsiri hasa ya neno Maandamano ni ipi?

  Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
 4. Erythrocyte

  Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

  Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
 5. Erythrocyte

  Ratiba mpya ya Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi kutolewa agosti 5

  Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha . Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi...
 6. Erythrocyte

  CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

  Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
 7. Erythrocyte

  Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

  Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
 8. Erythrocyte

  Pamoja na wanayotendewa, wanachama waendelea kujisajili kupitia Chadema Digital

  Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital. Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa...
 9. Erythrocyte

  Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

  Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA. Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi...
 10. Erythrocyte

  Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

  Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
 11. Erythrocyte

  Mjadala wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hautazimwa kwa kumfunga Freeman Mbowe

  Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena kutokana na matakwa ya viongozi wa Tanzania, ambao wanamuogopa kutokana na hoja zake nzito za...
 12. Erythrocyte

  #COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

  Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
 13. Erythrocyte

  Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

  Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi. Bado tunaendelea kutafakari, bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi...
 14. Erythrocyte

  Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

  Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
 15. Erythrocyte

  Ikiwa Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Kongamano la Katiba Mpya, wengine wameshikiliwa kwa kosa gani?

  Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na...
 16. Erythrocyte

  Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

  Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum. Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama...
 17. Erythrocyte

  CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

  Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam . muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona . wote mnakaribishwa ====== Mbowe hajulikani alipo ...
 18. Erythrocyte

  Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

  Huu hapa ndio ujumbe wao
 19. Erythrocyte

  Chadema yawatakia heri ya Idd Waislam pamoja na Watanzania wote kwa ujumla

  Huu ndio ujumbe waliousambaza kila mahali leo
 20. Erythrocyte

  Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

  Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
Top Bottom