Search results

 1. franktemu123

  Usikimbilie kuoa, utajuta

  Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China. Sasa Uchumi...
 2. franktemu123

  Kenya Katiba mpya itawagharimu BIG TIME

  Mlienda kucopy almost kila kitu kwenye katiba ya South Africa (Bila kuangalia mazingira ya nchini kwenu) mpaka titles za viongoz (eg. Deputy President etc.) 2. Msururu wa viongozi (kaunti 47 na viongozi kibao *Gavanaz, D/Gavanaz, women representatives, senators na ma-MP wa.kutosha huku baadhi...
 3. franktemu123

  Mabalozi wakirudishwa nyumbani TZ, hujishughulisha na nini?

  Swali langu dogo wandugu, je wale mabalozi wanaorudi nyumbani TZ baada ya kutumikia taifa huko ughaibuni, wakirudi TZ wanashughulika na nini? Nauliza hivyo maana hawasikiki tena mara warudipo. Nina mpango wa kuanzisha kitakachoitwa INTERNATIONAL DIPLOMACY COLLEGE (IDC) sasa nahitaji kuwaajiri humo.
 4. franktemu123

  Nachukia Whatsapp Images/messages za KU-FORWARD

  Unakuta ni jitu zima unaliheshimu kazi kufoward mimeseji ya kutumiwa na watoto wadogo. We mama mtu mzima si ukae na wajukuu zako. Mkottongoz.wa mnalalamika vijana hatuna nidhamu
 5. franktemu123

  Hongera Dr. Sam Sasali

  Hongera sana kwa hatua uliyofikia ukiwa na umri mdogo. Endelea kuPambana 2020 wananchi tunakukabidhi jimbo la Kawe. Mdee akae benchi sasa. Kaishiwa pumzi.
 6. franktemu123

  Nani kumrithi Dr. Zuma? Cyril Ramaphosa vs Nkosazana Zuma

  Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za Afrika hasa wanachama wa SADC kwa karibu zaidi tumekuwa tunafualia kashfa anazopambana nazo Mhe. Dr. Zuma nchini kwake ikiwa anajiuzulu leo nani atamrithi? Kumbuka South Afrika Rais anachaguliwa na Bunge kutoka Chama chenye Wabunge wengi (Bila shaka ANC).
 7. franktemu123

  Uber taxi kimbilio la wengi

  Tunashukuru wenye kampuni ya uber kwa kutuletea huduma ya bei nafuu kwa 3,000 unakwea taxi full kiyoyozi. Taxi pale airport mtasubiri sana.
 8. franktemu123

  Kuna ulazima wa Tanzania kuwa na Shirika la Ndege?

  Wadau nimekuwa nikijiuliza kwani ni lazima kama Taifa tuwe na Shirika la ndege ? maana kwa sasa hatuna NGUVU KAZI ya KUTOSHA katika SEKTA husika vinginevyo tutashuhudia ajali, delay, cancellation zitakuwa za kumwaga. Ni bora tuwekeze kwenye GESI tuwe na tuna-EXPORT huko Abroad kuliko...
 9. franktemu123

  Bro Mchechu wa NHC, Majumba unayojenga una uhakika utapata wateja?

  Kaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja sijaielewa!! Kama lengo ni kuuza, je una uhakika na Wateja? Zaidi mbona hata bei zake ni ghali mno. Nini hasa...
 10. franktemu123

  Fastjet: Basi linalopaa angani

  Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria. Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena...
 11. franktemu123

  Sasa rais Uhuru Kenyatta akija Tanzania apewe barabara gani?

  Hivi karibuni barabara ya Old Bagamoyo ilibadilishwa jina na kuitwa MWAI KIBAKI ROAD (Rais aliyepita wa Kenya). Sasa najiuliza je Mhe. Uhuru Kenyatta akija Bongo tumpe Barabara gani? hivi nao ni wakarimu kama sisi? kule Kenya kuna NYERERE ROAD, MWINYI ROAD, MKAPA ROAD au KIKWETE ROAD? TZ tayari...
 12. franktemu123

  Natafuta fremu ya duka

  Yoyote mwenye taarifa ambapo naweza kuanzisha biashara ya DUKA la vyakula reja reja M-PESA,tafadhali ani-PM
 13. franktemu123

  Wapi Mhe. Dr. Chami, MP wa Moshi Vijijini?

  Mheshimiwa Mbunge kwanza pole na "upepo wa kisiasa" uliokukumba 2015. Huyu mbunge wetu wa sasa hajihusishi na chochote jimboni. Tunahitaji urudi 2020 kutuletea maendeleo.
 14. franktemu123

  Pinda na umiliki wa Sumry Express

  Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa...
 15. franktemu123

  Wadau mwenye details za tourism sector tz

  Wadau mimi ni mtanzania ila kwa sasa nipo hapa Maryland,USA nasoma pia napiga kazi sehemu nilifikiria kuanzisha kama shule/chuo ya kufundisha mambo ya utalii huko home sasa natafuta fund huku so kwenye proposal yangu inabidi niandike details za Tourism Sector huko home kama kuna yoyote anaweza...
 16. franktemu123

  Tanzania bara tunafaidika na nini kwenye muungano na znz?

  Ndugu wanajamvi niulize hivi Tanzania Bara inanufaika nini na Muungano wa tanaganyika na Zanzibar? maana nimejaribu kufanya ka-utafiti kidogo sijaona maana kuanzia Raisi/ Makamu wa Rais (mmoja kati yao lazima atoke zanzibar) Appointments za Mawaziri/Naibu Mawaziri, Mabalozi, (sina Uhakika na...
 17. franktemu123

  Kwa nini hakukua waziri au naibu waziri kutoka Dar Es Salaam (kati ya Wabunge DSM?)?2010-2015?

  Salam wadau! Nimekuwa nikijiliuliza hivi Rais anatumia vigezo gani kuteua mawaziri? huwa anashauriana na nani? nikajaribu kumuuliza mheshimiwa mmoja wa huko serikalini akaniambia kuna kama ka Quota Scheme fulani hivi at least kila mkoa ama utoe waziri au Naibu waziri sasa nikiangalia kwa mkoa wa...
 18. franktemu123

  TBC Na Kuiga Vipindi (HUKU NDO KWETU kutoka USWAZI cha EATV)

  Wandugu! Nimekuwa nikiangalia TV stations za hapa nyumbani kwa kiasi wanajitahidi (ukiondoa TBC) ambao kwao ubunifu nafikiri si ishu kudhirisha hili hebu tizama kipindi hiki kipya cha HUKU NDO KWETU utagundua wameiga kila kitu toka kwa kipindi cha usawzi CHA eatv..MTANGAZAJI MWENYEWE hajui...
 19. franktemu123

  Natafuta mke

  Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani. Email yangu franktemu123@yahoo.co.uk simu yangu 0759333178. Frank
Top Bottom