Search results

 1. Tajiri Tanzanite

  Taja adhabu ambayo hauipendi hapa Duniani

  Hapo vip!! Kama kichwa habari kinvyojieleza..tajaadhaby ambayounachukia hapa Duniani..binafsi sipendi kifo.
 2. Tajiri Tanzanite

  Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

  Hapo vipi, Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi. Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana. Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa. Wataalam tafsiri yake nini.
 3. Tajiri Tanzanite

  Kwa hili nawashauri wafanyabiashara wakubwa na wakati mgome au muandamane

  Hapo vipi, Siasa chafu matokea yake ni uchumi mchafu na dhaifu. Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali juu ya utashi na uwezo wa viongozi wetu katika swala la kupambanua mambo na uwezo wa kufanya maamuzi bora katika maswaa mbali ya kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini nimegundua Tanzania bado...
 4. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Hapo vipi, Siasa chafu matokea yake ni uchumi mchafu na dhaifu. Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali juu ya utashi na uwezo wa viongozi wetu katika swala la kupambanua mambo na uwezo wa kufanya maamuzi bora katika maswaa mbali ya kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini nimegundua Tanzania bado...
 5. Tajiri Tanzanite

  Naona Sabaya ni dhahabu inayopitishwa katika moto kama dhahabu

  Hapo vip!! Naona wafilist wamemkamia Sabaya. Ninacho kiona kwenye hili swala la Sabaya tuhuma zimeibuliwa katika misingi miwili. 1. Misingi ya kisiasa kwasababu alisarambatisha ngome ya Mbowe. Mbowe hakupendezwa na hili hata kidogo. 2. Kuna element ukabila dhidi ya tuhuma Sabaya tuhuma...
 6. Tajiri Tanzanite

  Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

  Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu. Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na...
 7. Tajiri Tanzanite

  Msaada juu ya hii ndoto inayonitesa

  Hapo vip!! Jamani kwa huzuni kubwa sana..naomba niwaeleze ndoto inayonitesa mara kwa mara...ila naamini Mungu(Jehova)ananipigania kila siku. Nimekuwa nikiota ndoto ya kushangaza na imekuwa ikijirudia mara kwa mara ni takriba miaka mitano au zaidi. Ipo hivi najikuta kama natoa uzi kwenye meno...
 8. Tajiri Tanzanite

  Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

  Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
 9. Tajiri Tanzanite

  Hili tatizo la umeme linashusha uchumi wa nchi kwa kasi

  Hapo vip! Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi. Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania. Tunaomba serikali iwe sereous na...
 10. Tajiri Tanzanite

  Hivi utamuambiaje mtu nimekumis kwa Lugha ya kiswahili?

  Hapo vip!! Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
 11. Tajiri Tanzanite

  Mgao wa umeme umeanza kimya kimya Arusha

  Hapo vip!! Huku maeneo ya Ngulelo,Kimandolu sekei n.k umeme umekuwa unakatwa kuanzia saa 8 nane mchana mapaka siku inayofuatwa. Kitu ambacho wananchi wenzangu wanalalamika ni kutopewa taarifa ili wapambane na hali ya hilisi kwasababu kuna watu wanategemea umeme kuingiza kipato. Mfano...
 12. Tajiri Tanzanite

  Siku gani katika juma watu huamini ni siku yenye mikosi au nuksi?

  Hapo vipi! Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao. Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
 13. Tajiri Tanzanite

  Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

  Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
 14. Tajiri Tanzanite

  Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

  Hapo vipi Ukitumia akili ya kawaida na utafiti partial na jinsi unavyoingiza mshedede kwenye hiyo kitu chake hauweza kukubaliana na mimi juu ya hili ila ukweli na fact mwanamke ndio kiumbe namba mojo mwenye roho mbaya Duniani. Kabla hatujafika kwenye ushahidi niliokutanana nao ..Ngoja kwanza...
 15. Tajiri Tanzanite

  Wanaume wa kiswahili ni shida

  Hapo vip!! Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia . Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo. Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri...
 16. Tajiri Tanzanite

  Mgao wa umeme Arusha umeanza

  Hapo vipi, Watu wa Arusha kwa ujumla wameifuta CHADEMA - Arusha wakaweka kijani kibichi ambayo ni ishara ya neema. Ni takriban wiki sasa Arusha maeneo ya Sakina, Mianzini, Sanawari, Sekei, Kimandolu, Ngulelo n.k wanakata umeme alafu wanarudisha jioni hakuna taarifa yeyote. Mwananchi ana haki...
 17. Tajiri Tanzanite

  Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

  Hapo vip! Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani. Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu. Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja...
 18. Tajiri Tanzanite

  Kwanini watu ambao hawajasoma huwa wakiwa na mafanikio kidogo au zaidi wanakuwa na madharau?

  Hapo vipi? Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi. Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi. Kulikuwa na majamaa...
 19. Tajiri Tanzanite

  Vijana wengi wanafuata mkumbo na kuchukulia kuwa Mpinzani ni fasheni na kwenda na wakati

  Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
 20. Tajiri Tanzanite

  Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

  Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
Top Bottom