Search results

 1. mumewanguu

  Hizi sio ndoto za kawaida

  Mimi Mara nyingi naota nipo shule nimerud madarasa ya chini kabisa na huwa nipo kwenye maandaliz ya mtihani Sent using Jamii Forums mobile app
 2. mumewanguu

  Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

  Effect of colonialism Sent using Jamii Forums mobile app
 3. mumewanguu

  Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

  Ww unaetaka lockdown ndio utakua wa kwanza kulalamika mshahara haujaingizwa, kumbuka serikali haitengenez pesa inategemea Kodi zetu cc wananchi hususan wafanya biashara ,ambao ili tupate pesa lazma tutoke,Sasa cjui umekula maharage ya wapi mpaka unashadadia lock down ngoja hako kamshahara kastop...
 4. mumewanguu

  Mange kimambi &zito kabwe sijawahi waelewa Nini haja ya moyo wao kwetu

  Dunia nzima inalia na inaongea lugha moja kuhusu mdudu Corona Hapa nchini kwetu serikali inajitahidi kufanya kila linalowezekana kudhibiti Corona ikiwemo kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujikinga Watu wanahamasishwa wanawe mikono,wavae barakoa,waepuke misongamano isiyo ya lazima ili kudhibiti...
 5. mumewanguu

  Nina hofu ya Hepatitis B naomba ushauri

  Toa hofu ndugu Mimi nilikua natumia dawa za hepatitis b yaani truvada (arv) nilitumia miez 18 baadae hi hospital ya hapa mkoani kwetu wakanambia hawatoi dawa Tena niende nikachukue muhimbili,Basi nikaenda kwa doctor ili aniandikie transfer ya muhimbili ,yule doctor akanambia ndugu yangu...
 6. mumewanguu

  Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislamu?

  Wapo hapa tanga tunaye na ameshika dini kisawa sawa Sent using Jamii Forums mobile app
 7. mumewanguu

  Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

  Wale wa usagara tulikua wazee was chichi,vigodoro na baikoko Sent using Jamii Forums mobile app
 8. mumewanguu

  Waholanzi Watengeneza Virusi Vya Kuua Wanadamu

  Wewe ndugu ulijuaje Sent using Jamii Forums mobile app
 9. mumewanguu

  CORONAVIRUS: Naongeza miluzi ya tahadhari lockdown iharakishwe

  Wewe sababu una kaajira ndo Mana unashadadia lock down,ss ambao hatuli mpaka tutoke hujatufkiria kwenye hio lock down yako,Sasa ukifunga mtaa ni Yale Yale tu kama hatutakufa kwa Corona njaa vp itatuacha, think more jombaa Sent using Jamii Forums mobile app
 10. mumewanguu

  Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

  Sawa mkuu hayo ni mawaxo yako Sent using Jamii Forums mobile app
 11. mumewanguu

  Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

  Kama c kwel ilibidi akanushe Mara moja Sasa kukaa kimya inamanisha okay Sent using Jamii Forums mobile app
 12. mumewanguu

  Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

  Mimi Niko busy hapa nachanganya ukwaju na alkasusu niliamshe dude Sent using Jamii Forums mobile app
 13. mumewanguu

  Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

  Katika dini ya uislamu muziki ni haram, na Mzee Yusuf alipoenda hijja na kurudi alitangaza kuacha mziki na alianza kutangaza dini na mashehe alizunguka mikoa mingi kutangaza kuwa kamrudia Mungu. Hivi karibuni inasemekana mfalme anataka kurud jahazini hivi ni kwamba alikurupuka au alijua...
 14. mumewanguu

  Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

  Kuna wakat nilipitia Hali Kama yako ila nilipambana nikavumilia Leo mungu amenifungulia njia sitamani kufa Tena ili Nile matunda ya juhudi yangu,so pambana no life is problem free,cc tukieleza ya kwetu utajiona huna tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
 15. mumewanguu

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT?

  Nilikua maarufu Sana maramba op kikwete 2015 Sent using Jamii Forums mobile app
 16. mumewanguu

  Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

  Siku dada yako akiachika inakuaje Sent using Jamii Forums mobile app
 17. mumewanguu

  Biashara za kuwekeza mtandaoni

  Kumekuwa na kuibuka kwa makundi mengi ya whatsup yanayohamasisha kuekeza pesa na kupata pesa Kama vile bc investment, million money,olvat na makundi mengine meng Hivi haya makundi ni kwel nduguzanguni Sent using Jamii Forums mobile app
 18. mumewanguu

  Kwanini Mapadre na Masista wa Kanisa Katoliki hawaoi/hawaolewi?

  Wengi wao hua wazinifu hasa mapadre hua na watoto wa zinaa ,ushahidi ninao,na hi inaonesha wazi kua huu sio mpango wa mungu Sent using Jamii Forums mobile app
 19. mumewanguu

  Makampuni ya uwekezaji WhatsApp

  Nimeingia Whatsapp nimeona magroup yanahamasisha uwekezaji na faida yaani unawekeza laki baada ya siku mbili yazaa asilimia mia moja. Hivi ni kweli au watu wanatumia fursa? Sent using Jamii Forums mobile app
 20. mumewanguu

  Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

  We ni mjinga bado hujaelimika na hicho kitengo ndio kinachokufaa,Nani alikuambia ukisoma hutakiwi kuandalia watu chai,tatizo elimu yako haijakufundisha pesa ni nn,nakushauri Soma kitabu kinaitwa Rich Dad poor Dad ukimaliza utauza hata chai moyo unafunguka ila mtaji uwe wako usiwe umeajiriwa tena...
Top Bottom