Search results

 1. Msweden

  USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

  Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini . Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
 2. Msweden

  Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

  Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10. Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa...
 3. Msweden

  Lazima tunyooke,mitano tena

  lazima tunyooke suti kutoka laki 9 mpaka laki 2😆😆,Mitano tena kwa jiwe
 4. Msweden

  Wanaume tuwe makini Sana tunapo oa wanawake masikini

  Habari za mida hii? Sio wote wenye tabia hiyo ila asilimia kubwa Wana michezo hiyo,familia za kimasikini zina ushirikina mwingi mno utalishwa kila aina ya matakataka ya waganga. Tena mwanaume ukiwa unajiweza kifedha kidogo tu Basi hapo ukoo mzima utakaa kikao kukuundia tume wakuteke ukifanya...
 5. Msweden

  Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

  Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
 6. Msweden

  Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

  Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo . Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
Top Bottom