Search results

 1. chivala

  Uchuzi unaonuka na usionuka, ni dalili ya afya au magonjwa?

  Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka. Suali...
 2. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
 3. chivala

  Miamala ya simu, ni vibubu va walalahoi

  Ni utafiti niloufanya mapema tu baada ya mzigo huu wa kodi ya muamala wasimu na ikapachikwa jina hasimu la UZALENDO, nimegundua kwamba asilimia 90 ya watumiaji wa miamala ya simu ni wale walala hoi waliokua wakihifadhi pesa zao ndogondogo kweye vibubu au kwenye vibuyu na vyungu tu. Hivyo basi...
 4. chivala

  kumbe Basi jibya la yanga ni YUTONG!

  Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto...
 5. chivala

  TTCL kuna unafuu wa tozo ya miamala ukilinganisha na kwingine

  kutokana na tozo za kodi ya miamala, kampuni ya ttcl tozo yao, ni tafauti na makampuni menginine ya simu.
 6. chivala

  Tozo mpya ya Miamala ya TIGO-PESA na M-PESA, hii hapa

  Kutokana na miamala ya kutuma pesa na kupokea pesa Serikali kutoza kodi, kuanzaia tarehe 15/07/2021 hali itakua kama hivi:
 7. chivala

  Dhahabu hupunguza nguvu za kiume?

  Wakuu asalam Allaykum. Amani iwe juu yenu. Baada ya salamu nawaletea uzi huu unaohusu athari ya uvaaji dhahabu kwa mwanaume. Wanajamvi niliwahi kusikia kwa wahadhiri wa dini ya kiislam wakitahadharisha kuwa uvaaji wa dhahabu kwa mwanaume ni khatari!, husababisha upungufu wa nguvu za kiume...
 8. chivala

  Wasifu wa hayati Pombe Magufuli kwenye wikipedia wapotosha

  wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya. mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa...
 9. chivala

  Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

  Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia. Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways. Basi hapo ndio...
 10. chivala

  Tabia hii ni ya mbwa au kuna viumbe wengine wanayo?

  Wakuu uzi huu nimewaletea kwa kuwa na uhakika jibu nitalipata kwenye hadhra hii ya JF kwa vile yenyewe ni JUMUISHO la FIKRA(JF). Bila kupoteza mda suali langu ni hivi 1)badala ya mbwa kuna viumbe wengine wanaochelewa kutoa shahawa wakati wa kuingiliana? 2) Kitu gani kinachosababisha mbwa...
 11. chivala

  Ukombozi wa vifurushi upo tigo

  Wanajamvi kile kilio chetu cha kupunjwa mda wanaongezi na Mb na GB, mtandao wa Tigo wamekikomesha, hivi bei zao ni sawa na Israel.
Top Bottom