Search results

 1. carmel

  Demand ya Samaki aina ya kambale

  Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
 2. carmel

  Vifaranga vya Samaki

  Natafuta vifaranga mbegu nzuri. Nani anao wa sato?
 3. carmel

  Natafuta mtaalamu wa kufunga Water Purification System

  Natafuta mtu anayetoa huduma ya kufunga hizi water purification system kwenye ponds. Pls nicheki 0784703920
 4. carmel

  Shule ya chekechea!

  Nataka kuanzisha shule ya Chekechea ambayo itakuwa darasa 1 la watoto wasiozidi 40! nahitaji kama shilingi ngapi kuanza hii project? na usajili ni lazima? process yake ikoje?
 5. carmel

  Je hii ni sawa? wanandoa na mnaotaka kuingia toeni maoni.

  Huko Kenya wamepitisha mswada unaozuia mgawanyo sawa wa mali kati ya mwanaume na mwanamke inapotokea wameachana na kupeana talaka..je hii ni sawa wadau? Vipi kuhusu haki za mwanamke ambazo ni passive..yani hazionekani maana kama ni nyumba kajenga mwanaume mara nyingi wanawake tunaishia...
 6. carmel

  A must read for leaders:Revolutions coming all over...Tanzania jipange

  Huu ni utabiri wa T.B Joshua katika ibada ya jana 14TH July live kwenye emmanuel.tv. Kwa wale wanaoamini katika maono hali halisi ndio hiyo hapo chini..najua wapo watakaobisha na kutukana na kupuuzia..but pls just mark those words na ukae kimya ungoje hadi yatakapotokea uje ubishane. But i just...
 7. carmel

  natafuta office ya kushare

  habari zenu.. Nina agency ambayo nimekuwa nikifanyia kazi nyumbani for sometimes now..ila imeonekana ni vema nikawa na office. Hivyo naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa na space ya kushare officin kwake? Tutakubaliana cost sharing. Nahitaji cchumba kimoja tu. Au naweza kupata chumba...
 8. carmel

  Nahitaji office space ya kushare

  Helloz, Nina agency ambayo nimekuwa nafanyia kazi nyumbani ( homebased) lakini umekuja umuhimu wa kuwa na office. Hivyo naomba mwenye office maeneo ya sinza mwenge, kijitonyama na survey tuwasiliane..tunaweza kushare cost?
 9. carmel

  Scholarships in top business schools worldwide

  For those who still aspire for scholarships in top businesses schools in the world..pls dont miss this chance. check the link and go for it. http://emmanuel.tv/mba.html Hii ni fursa ya ukweli kwa wale wanaoangalia Emmanuel tv mtakuwa mnajua kuwa T.B Joshua kaanzisha project ya kusaidia vijana...
 10. carmel

  Hostel za watu kieheshima zapatikana wapi?

  Naomba mnijuze wapendwa mitaa ya kijitonyama ,sinza na hata posta. wapi naweza kupata hostel ya kuishi kwa muda?
 11. carmel

  Its that time of the year...goodd things comes to those who care

  Happy new year wapendwa. Its my first thread for this year after a long dissappearance. Hata hivyo nawamiss wote hapa JF na this time nimekuja kivingine............ So Valentine day is coming....umemuandalia mtu umpendae kitu chochote? Be it partner wako in ilove, mama/baba yako, kaka/dada yako...
 12. carmel

  Natafuta mpango wa kando

  Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha. Sasa kwa...
 13. carmel

  Fremu zinahitajika Kariakoo na Mwenge

  Nahitaji fremu kariakoo na mwenge kwa ajili ya kuuza vitu vya watoto kama vile nguo na accessories zote. Kwa Kariakoo sitaki duka zima bali nahitaji wao wanaitakizimba au 'goli". mwenge nahitaji fremu kubwa. Pia kwa kariakoo niko tayari kushare fremu kama ni kubwa. kama unayo au unajua namna...
 14. carmel

  Kwa yale maisha ya kupigana na kukashifiana, maoni tafadhali

  Sijui ni mimi peke yangu ndo naliona hili au kuna wengi pia mmeligundua. Kuna ongezeko kubwa sana la domestic violence (kwa maana ya wanandoa na walio kwenye mahusiano)kwa vijana wa umri wa kati, wasomi, wenye kazi nzuri (professionals), Nasema hivi kutokana na experience ya watu wangu wa...
 15. carmel

  Msaada wa mawazo

  Habari zenu wakuu, Kuna mtu wangu wa karibu alikuja kutoka nje, anahitaji kutoa sadaka kwa ajili ya msimu huu wa easter lakini asingependa kupeleka kanisani na badala yake anapenda kupeleka kwenye vituo vya kulelea yatima, any one with ideas ya wapi kituo kipo na infor za aina hiyo? thanks
 16. carmel

  kwa nini wanawake hawatoi sifa au kukandia?

  Nahitaji sana kuelewa hili, mara nyingi humu utakuta topic nyingi zinahusu wanawake wa sehemu fulani sijui watamu, sijui wanajua mapenzi, sijui wanawe utakuta wanaume wanajitoa, wanachangia kweli experience zao na wanawake wa aina mbalimbali, wenye kutoa sifa haya, wenye kutoa dharau nao wapo...
 17. carmel

  What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

  Jamani kuna kazi nimeitwa kwenye interview lakini wanataka niwapelekee result za Psychometric Test, nimepokea email hii ...."Please note that we require for the position your latest Cognitive Ability Psychometric Test(CAPT) certified by an Independent Psychometric Invigilator Should you not...
 18. carmel

  Ukweli ni kwamba..............kuhusu valentine day...

  Najua wengi mtakuja na siasa za Oooh Valentine tunaiga, kwa nini niifanye siku siku hii special kushinda zingine, sijui mimi nampenda wife or hubby na kumtreat sawa kila siku, why today iwe special. Sasa kwa wenye masikio na wasikie, this is from a woman's heart. Wanawake siku zote wako kama...
 19. carmel

  Be ware with what you eat..read and tell your friends

  "I had food poisoning that was really bad. Just realized we bought eggchops on sunday from Royal Bakery at Kawe Road, a number of people were affected as well- 2died and 18 more hospitalized. The place is closed now for investigation I heard. Spread the news to your friends. " This is frm a...
 20. carmel

  swali kwa wanauchumi

  hivi, sukari inapokuwa sh 2000 tunaelekea wapi?
Top Bottom