Search results

 1. Meshacky Allyson

  Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

  Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya...
 2. Meshacky Allyson

  Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

  Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
 3. Meshacky Allyson

  Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

  Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
 4. Meshacky Allyson

  Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

  Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
 5. Meshacky Allyson

  Hivi ni kwasababu ya geto au akili ya mtu tu kuendekeza uzinzi?

  Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana ,Ni nzuri na za Hofu ya Mungu Kwa kiasi flani Ila Cha kushangaza wengi wao wakipata neema ya kuhama...
 6. Meshacky Allyson

  Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

  Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] . Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...
 7. Meshacky Allyson

  Kuacha na kuachwa kwenye mapenzi limekuwa jambo la kujisifu

  Habari wana JF, natumaini mu wazima wa afya. Binafsi nimekuwa nikitafakari sana jambo hili, nimekuwa nikisikiliza friend zangu walioko kwenye mahusiano na wapenzi wao, wakiongea kwa kujisifu kabisa sijui akizingua namwacha. Wadada nao siku hizi hivyo hivyo, kama sijui huna hela unaachwa. Yaani...
 8. Meshacky Allyson

  Nimechafukwa na mapenzi, sijui kwanini

  Wana JF, kama title hapo juu inavyosema, yaani kiukweli, sijui tatizo hili ni kwa sababu ya ugumu wa maisha au ni aina ya mapenzi ya sasa, yaani sielewi nimekuwa nipo single kwa muda sasa, kiukweli mzuka wa kudate na mtoto wa mtu sina, hasa nikiangalia date za sasa zilivyo mbovuu, zipo kimaslahi...
 9. Meshacky Allyson

  Pisi ikikuangalia sana (eye contacts ) ni dalili ya nini..??

  Habari wana JF , Nimejaribu kupotia nakala na majarida mbalimbali yanayozungumza juu ya swala hili ,nimepata data chache kdg ,Nimeona nirudi kwenu niulize hili ,Yaan kuna pisi everyday nikikutana nazo huwa zinanipa eye contacts sanaa , Sasa huwa nashindwa kutafsiri vzr juu ya hii kitu ...
 10. Meshacky Allyson

  Hivi Pisi nyembamba Zina nini lakini maana mimi Sielewi..

  Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote wako hivyo au nn shida..!! Wana JF hebu nipeni taarifa fupi background kdg ya pisi za aina hii...
 11. Meshacky Allyson

  Tuliochukua namba za wanawake kihuni tujuane

  Habari wana JF , Nakumbuka siku mmoja nilienda Bank pale UDSM sasa nikawa najaza jaza zile fomu zao za kuweka pesa. ,nilienda si kwamba ni mwanafunzi wa pale sema tu ni tawi lililo karibu , Sasa wakati najaza jaza , eehn bhanaa eehn ilikuja pisi moja kali kinoma ikakaa karibu yangu nayo ikawa...
 12. Meshacky Allyson

  Majina tunayowapa wanawake yana maana gani ? Mimi sielewi

  Habari wana JF , kila siku nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani anayetoa haya majina tunayowapa wanawake , yana maana gani ,je yana athiri vipi ufahamu wao , Kumekuwa na wimbi kubwa la majina ambayo tunawapa wakina dada ,mara utasikia pisi kali ,Chura , Demu ,Huwa najiuliza tunawachukuliaje wadada...
 13. Meshacky Allyson

  Kupendana pekee hakutoshi kufanya ndoa iwe salama ``

  Ni muda mrefu sana nilitafakari , hili jambo nikijitahidi kupitia vitabu na chunguzi mbali mbali juu ya jambo hili , Ukweli nimekuja kugundua Kupendana pekeee hakutoshi wala hakufanyi ndoa yako iwe safe ,iwe imara au idumu kwa muda mrefu ,Why nakwambia hili..??? Hebu jaribu kufikiri watu...
 14. Meshacky Allyson

  Dar Yaongoza Ndoa Kuvunjika

  Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , [emoji24] Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika ,vijana nao wanalalamika uvumilivu ,na heshima hakuna..!! Nikawa nawaza sasa ,Hii inasababishwa na...
Top Bottom