Search results

 1. Mafiningo

  #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Mtizamo wako?

  Anasema wanalazimisha chanjo wakati serikali haijalazimisha mtu. Anatisha watakaomjibu na kuwaita wajinga na kwamba atawasemesha mpaka watafute taulo ya kuvaa. Anasema chanjo haijathibitishwa kama ni salama ( hizi habari kazitoa wapi)- uongo mtupu. Anadai watakaozaliwa baadae watageuka - uongo...
 2. Mafiningo

  #COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

  Nchi ambazo zilikataa korona Tanzani, Burundi na Hait marais wake wamefariki. Nchi hizi pia zina mfanano wa hali ya kisiasa. Tz kila mtu anajua Burundi: Nkurunzinza pia tunafahamu alivokuwa anaendesha siasa za Burundi. Haiti, kulikuwa na madai ya katiba mpya kwa muda mrefu na rais alikuwa...
 3. Mafiningo

  #COVID19 Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19

  Ushamba tu ndo unatucost. Ni nani umemsikia anapinga hatua za kujikinga na malaria? Halafu uwage na akili. Covid imestrike zaidi Ulaya,,lakini malaria ulaya ni kama hakuna. Wewe unategemea mzungu akutangulize wewe na malaria yako aache ugonjwa unaomsumbua yeye? Wewe umesaidiwa kutafuta...
 4. Mafiningo

  Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

  Kumbukumbu: Mchungaji mmoja alionya kuhusu kangi kukufuru kwani ni kwamba anamwombea mabaya rais,, hakuna aliyejali. Tunapoongea leo Kangi alishindwa ubunge na huyo rais akafariki dunia. Gwajima alimtamkia adhabu makonda ,,hakuna aliyejali ,,makonda si mkuu wa mkoa tena. KUMBUKUMBU,, You will...
 5. Mafiningo

  Story of Change Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo

  Naanza kuamini ccm siyo chama cha siasa tena. Ni wakoloni kama walivyokuwa wajerumani. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 6. Mafiningo

  Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

  Nakupinga kitu kimoja: kuhusu kamati kwani naamini katika mjadala. Siamini maamuzi ya mtu mmoja tu kwani akikosea ndo basi hakuna wa kumrekebisha. Nadhani mtoa mada umeathirika na tabia za kiimla za jiwe. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 7. Mafiningo

  #COVID19 Maneno ya Askofu Gwajima yamepata nguvu, kitaa wanaamini wakubwa wamehongwa

  Na wanaamini watazaa watoto mazombie [emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 8. Mafiningo

  CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

  Ccm ibebeni hii hoja ya katiba. Muda umekwenda sana, msibaki na mawazo ya kizamani. Kama katiba ilikuwa muhimu 2014 leo itakuwa ni muhimu zaidi. Msisubiri nguvu ya wananchi kuwazidia ndipo mfungue macho. Itakuwa too late. USHAURI.
 9. Mafiningo

  Waziri Mwigulu: Msiikimbie nchi kwa matatizo yanayotatulika

  Mtoto wa masikini anapojisahau kupitiliza, unabaki kumwonea huruma.
 10. Mafiningo

  #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

  Ni mwongo sana. Akitokea akawa rais nchi itakuwa imetumbukia kwenye shimo lenye kiza kinene. Hata huo ubunge hafai kuwa nao. Ni mwongo mno. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 11. Mafiningo

  #COVID19 Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

  Johnson ndo chanjo yenye asilimia ndogo zaidi za kukinga. Hii ndo sababu ya kwanza, na ya pili ni kwamba iliwahi kusimamishwa kutolewa baada ya madai kuwa inasababisha vifo. Uchunguzi ulifanyika na baada ya kuona haina madhara ikaruhusiwa kuendelea kutolewa. Sasa kutokana na uvumi mbalimbali...
 12. Mafiningo

  #COVID19 Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

  Gwajima anapata mwanya kupitia ushmaba wetu. Watanzania wengu tu washamba bila kujali umri na elimu. Unakuta mtu mzima na msomi anaamini yale maigizo ya kunatisha sumaku mabegani eti chanjo zinanasa usumaku. Kwa hilo tu unagundua ni kiasi gani tulivo washamba. Viblog vya wahuni ulaya na USA...
 13. Mafiningo

  #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

  Kigwangala tayari ameshachanjwa ,, nendeni mkamuulize kama sumaku inanasa[emoji3][emoji3] Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 14. Mafiningo

  #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

  Watanzania wengi wamekuwa informed kuhusu chanjo na wahuni wa mitandaoni akiwemo gwajiboy. Bahati mbaya na kiongozi wao wa zamani alilishwa elimu hiyo na hao wahuni na akaishikili na kisha kuwahubiria wananchi ambao hawana acccess ya kupata habari kutoka chanzo cha hakika. Ilivyo sasa ni kuwa...
 15. Mafiningo

  #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

  Kwanini Dodoma na isiwe Dar Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 16. Mafiningo

  Rais Samia, mbona kila unaloagiza watendaji wakuu wanakugomea?

  Alitakiwa apige chini wote, amwache Lukuvi tu. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 17. Mafiningo

  #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

  Kwanini atumie source za vijiweni kudanganya umma na ili hali reliable source zipo? Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 18. Mafiningo

  Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

  Kinachofanya niwatetee chadema ni mabavu yanayitumiwa na ccm kuwanyamazisha. Siioni Tanzania inayosonga mbele katika kutumia mtutu wa bunduki kuwaziba watu midomo wasiongee mustakabali wa taifa lao. Ccm washindane kwa hoja, kutegemea bunduki kunawashusha uwezo wa kujenga hoja. Sent from my...
 19. Mafiningo

  Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

  Alitudanganya kuhusu hali ya mwenda zake. Hawezi aminika tena. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 20. Mafiningo

  Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

  Ndiyo maana ya mawazo mbadala. Na ndipo hufikiwa maamuzi sahihi. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Top Bottom