Search results

 1. vitz14

  Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

  Mie bana alisema hawezi kuwa na mtu wa dini yangu maana sie tunaoa wake wengi ataolewa na msabato mwenzie....juzi nimekutana nae kaolewa na dini kama yangu[emoji28][emoji28]
 2. vitz14

  Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

  Hii kitu bana mie nkiona hata bahati mbaya kwenye daladala napitiliza kituo niko radhi nchelewe nizione mpaka mwisho bana...zinanivuruga
 3. vitz14

  Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

  Hahahaa inawezekana mie nimesoma nyanza from 1992-1997.na nilikuwa nakaa kona ya Nera opposite na hospital ya dr chogo,karibu na kiwanda cha pipi karanga ziwani kabisa pale! Sent using Jamii Forums mobile app
 4. vitz14

  TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

  Kaswali kazuri sana...huyo mtu watu wa dini yake anawapandelea wapi directors ni dini wote wa dini yake mmoja tena mama wa watu ana acting,meneja wote wa makao makuu dini yake mmoja tena ana act.watu watufe madhaifu ya bosi wao waseme sio kuzunguka tu.come back home kumeswiting[emoji39][emoji39]...
 5. vitz14

  TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

  Huyu mwenzetu alikuwa keshapanga mshahara wa 13 aende beach kidimbwi kitu kimegoma anasingizia hawajalipwa mshahara,TTCL tarehe 15 nauli kapaa,tar 20 advance kapaa tar 25 mzigo mzima unaingia mtu anasema hawalipwi mshahara,huyo mpangaji wenu anafanya kazi labda chemichotex Sent using Jamii...
 6. vitz14

  Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

  TTCL anachukua kutoka SEACOM ambae ni operator wa Africa sijui na yeye anachukua kwa nani
 7. vitz14

  Mambo ya kuzingatia kwa wanaume wenye umri chini ya miaka 45

  hii ipo kwenye namba tatu sema hajaitaja hii nayo ni self defence
 8. vitz14

  Kyela: Mwalimu mmoja wa shule ya sekoondari Kyela ampiga mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa

  sijui wanafunzi nao siku hizi laini,pale TAQWA wakati tunasoma mwanafunzi kula kipigo hadi cha kuchakaa kawaida sana,hadi tukawa tunaona raha kupigwa tu!
 9. vitz14

  Wanakijiji wasimulia mkasa wa wazazi waliojiua Tabora baada ya kukosa hela ya matibabu ya mtoto wao

  umri wao ni sababu kubwa zaidi ya hayo maradhi,mke miaka 18 kuhimili msongo ni kazi bahati mbaya familia yake si ajabu nao hawakuliona hilo.Hapo ndipo swala la mwenzie linapokuja kuwa na nguvu mmoja lazima awe strong kumshika mkono mwenzie kwenye misukosuko kama hivyo,wameenda halafu mgonjwa...
 10. vitz14

  Shinyanga Kahama: Askari ajiua kwasababu ya kukosa watoto

  stress,unakosa mtu wa kumwambia shida zako,au unaemwambia anaonekana kutokujali...kinachofata ndio haya matokeo!
 11. vitz14

  Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

  Kule utasema kuna hisa na watu wa sinza na mabibo,mie huwa nikiwapata tunaenda jamboree mabibo saaaaafi
 12. vitz14

  Vijana acheni kula Tigo

  Naomba namba yake mkuu
 13. vitz14

  DSTV king'amuzi bora kuliko vyote vinavyopatikana Tanzania

  Wekeni miamvuli juu ya madish kamwe hamtopata adha
 14. vitz14

  Tunashabikia UEFA Champions League lakini pesa anayolipwa bingwa wa EPL ni kubwa zaidi

  Itakuwa belekum chelsea timu ya zamani ya hans van pluijm
 15. vitz14

  Kutokana na hali ya kiuchumi natamani Tanzania tupate gari kama hizi

  Sasa hii gari bi mkubwa akija nikienda kumpokea pale ubungo kwenye zuberi hatotosha na kiloba cha vibambala,au mama mkwe sudan toka kwenye tashrif korosho na mbaazi zinakaa wapi?
 16. vitz14

  Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

  Aisee kweli mkuu,una mawazo kama yangu,kuna group moja huko whatsapp limejaa ma CPA holder wao nao wamekaa kujadili alichosema polepole!
 17. vitz14

  Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

  Halafu kweli,kuna kipindi AJ alikuwa na wapambe saa hizi na wao wanapigana wenyewe
Top Bottom