Search results

 1. Mr Misifa

  Mechi kati ya Liverpool na Genk inarudiwa muda huu Supersport 3

  Wakuu habari za muda huu? Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya supersport3 wale wenye kisimbuzi cha Dstv sjui ni chanel gani nyingine, ila mimi nmeona hio ndiyo...
 2. Mr Misifa

  Wangapi mmejiandaa kumpokea na kumsikiliza Maulid wa Kitenge kwa mara ya kwanza kesho asubuhi.

  Habari za mda huu wajameni nadhani mtakuwa poa sana Kama ambavyo kichwa cha mada kinavojieleza vizur je ni nani amejiandaa kuwa tayar kumpokea kwa kumsikiliza mwana habar na mtangazaji pendwa na nguri wa habar za michezo Tanzania wa kuitwa Maulid wa Kitenge na kwenzake wa 3 kwa mara ya kwanza...
 3. Mr Misifa

  Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

  Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni...
 4. Mr Misifa

  Jinsi ya kutuma sms ya kawaida kwa watu wengi mara moja

  Habari za wakat huu wakuu kama mada inavojielea.. Mimi nina tukio linalohitaji kuwatumia sms wengi sms mara kwa mara kwa iyo naomba kujua ni namna gani naweza kutuma sms ya kawaida kwa watu wengi kwa wakat mmoja, kama ni application yenye kipengere hiki au ni setting ktk cm naomba kujuzwa...
Top Bottom