Search results

 1. masupio

  Waziri wa Viwanda: Asilimia 30 ya maeneo tengwa kwa viwanda Mikoni yatoe kipaumbele kwa wajasiriamali wanawake na vijana

  Mhe. Charles J. Mwijage (Mb) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji amekabidhi mradi wa kujenga Industrial Sheds kwa Mkandarasi JKT mkoani Simiyu tarehe 2 Jan, 2018. Mradi huu ni mahususi kurahisisha uchakataji, branding na cold storage kwa bidhaa za wajasiriamali wadogo wadogo mkoani humo...
 2. masupio

  ACACIA mlikuwa wapi kubadili jina mpaka tarehe 4 mei 2017

  Kama kweli ACACIA mlikua na nia nzuri na nchii hii na Watanzania, je! mlikua wapi kubadili jina lenu ambalo tangu enzi na enzi tunaliona kwenye magezeti, tv, mitandao, mabango mbalimbali ya matanganzo mpaka kufikia eti tarehe 4 Mei, 2017. Shame on you. Ukiligema linywe.
 3. masupio

  Baadhi ya viwanda vitakavyofunguliwa hivi punde

  Serikali katika juhudi zake za kutengeneza mazingura ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 utakao endeshwa na mapanduzi ya viwanda yafutayo ni matunda to mention but few Kiwanda cha kusindika matunda kitakachofunguliwa soon eneo la mboga chalinze
 4. masupio

  Xenophobia South Africa, nani wa kulaumiwa?

  Ni dhahiri mpaka sasa swala hili la "xenophobia S.Africa" cyo jambo ngeni tena. Hakuna Mwafrika yoyote aliposikia swala hili hakuacha kuwalaani vijana hawa wa Durban na kwingineko bondeni kwa their barbaric actions. Swali ni Je ni sahihi kuwatupia lawama moja kwa moja vijana hawa wa bondeni...
Top Bottom