Search results

 1. Nyendeke

  Design ya Sebule kuwa Chini halafu Vyumbani na Sehemu ya Chakula kuwa Juu

  Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa? Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
 2. Nyendeke

  Nauza Kiwanja kilichopo Chamazi-Temeke

  Kiwanja kina Urefu wa Futi 50 na Upana wa Futi 40 kipo nyuma ya Uwanja wa Mpira wa Azam Complex, bei yake ni Tsh Million 2. Mbele ya Kiwanja ni barabara ya Mtaa hvyo gari inafka had hapo, Umeme na Maji vipo jiran.
 3. Nyendeke

  Kiwanja kinauzwa Chamazi

  Kiwanja chenye Ukubwa wa m 17 kwa m15 kinauzwa Tsh. 2.5M, kipo nyuma ya uwanja wa Azam complex mtaa wa Videte Chamazi.
 4. Nyendeke

  Majambazi yavamia kituo cha mafuta Lake Oil na kuchukua pesa

  Majambazi hayo ambayo idadi yao haikufahamika yaliyokua na Bunduki pamoja na Mabomu, yalivamia kituo hicho cha Mafuta kilichopo Mtoni Kijichi-DSM, usiku wa kuamkia leo na kuvurumisha Mabomu pamoja na risasi zisizokuwa na Idadi na kuweza kuvunja kituo cha Mauzo ya Luku na kuiba kiasi cha Tsh...
 5. Nyendeke

  Ni kozi zipi kati ya zifuatazo zitolewazo veta ni rahisi kupata ajira au kujiajiri na kukulipa?

  Poleni na Majukumu Wanajanvi; Kama habari inavyojieleza kati ya Ufundi wa Magari, Umeme wa Majumbani, Bomba na Ujenzi unaotolewa na chuo cha VETA ni nafuu kupata AJIRA au KUJIAJIRI kwa Mtanzania wa kipato cha kawaida na angalau kukuwezesha kuishi Mtaani bila kutegemea ajira rasmi? NB: Kuna...
 6. Nyendeke

  Button za laptop zime-stuck naomba msaada

  Poleni na Majukumu Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, lap top yangu aina ya Sony imestuck button zote kasoro pale kwenye Mouse yake so sijajua ni tatizo gani hasa na ni brand new haijawahi kufunguliwa hata siku moja, msaada tafadhari kwa mwenye uzoefu wa vitu hivyo!
 7. Nyendeke

  Msaada: Baba amekuwa "mtumwa wa pombe", familia inaangamia

  Poleni na majukumu Wanajanvi.., Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, kuna dada mmoja ambae ni rafiki yangu alikuja kuniomba ushauri juu ya Mume wake ambae ni Mlevi kupindukia yaani hana muda wa kuijali familia kwa chochote kile kunzia Lishe, Mavazi, Malazi, Ada za Shule za watoto n.k...
 8. Nyendeke

  Soma hapa Tafadhari!!

  Ni kijana wa kiume, umri miaka 17, Elimu yake darasa la 7, kabila Mzigua, anaishi Mikocheni. Anatafuta kazi yoyote ile halali yenye kumuingizia kipato. Ana uzoefu wa kuuza duka la reja reja na jumla, ni mstarabu na mwaminifu sana.
 9. Nyendeke

  Channel ten mnakera sana!!!!

  Habari za majukumu wana jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri...
 10. Nyendeke

  Petrol station manager!

  Poleen sana na Majukum wadau.., Naomba wazoef mnfahamshe kdogo; mie nna degree yangu kuna coy 1 ya mafuta wameniita baada ya interview 2kaongee kuhusu Maslah so naomba nijue mishahara yao inakuaje na je kama kuna benefit yoyote ambayo hua inapatkana zaid ya salary? Natangulza shukran!
 11. Nyendeke

  Ushauri unahtajka haraka!!

  Wana Jf kuna kijana wangu anafanya kazi na coy flan kwa takribani mwaka kwa mkataba, hivi sasa amepata kazi ya Petrol station Manager na anataka aache kule kwa mwanzo inagawaje mshahara ni mkubwa eti kisa ameambiwa kuna maslahi ingawaje mshahara ni mdogo. Naomben wenye uzoefu wanipe ushauri...
 12. Nyendeke

  Utamu wa ngoma....,,

  Habari za majukumu wana Jf? Nmekua mtazamaj kwa muda mrefu sana, ss nmeamua kujiunga racm. Ushirikiano wenu n muhimu sana waungwana!
Top Bottom