Search results

 1. munisijo

  Dalili gani inaonesha kwamba una-force mahusiano?

  HELA: Hela nafikiri ndio dalili na kipimo kikubwa kuliko vyote; kama hakupi hela, wewe tu ndio unampa hela na yeye hajitikisi zaidi tu ya kusema asante sana my ... hilo ni bomu na unatakiwa ufungua macho yako haraka sana. Najua utasema hana kazi, mara hana kipato, sijui ni jobless - sawa...
 2. munisijo

  Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

  Aliyekuambia ukaishi mbagala ndio kakuponza ila usijali, BRT inakamilika soon Si uishi Kimara ama Morogoro Rd?
 3. munisijo

  Hivi kumbe mapenzi ndo yanauma hivi!

  Ahaaaaa haaaaa haaaaa ... lol
 4. munisijo

  Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

  Nyumba isiyokuwa na store ni kimeo ...
 5. munisijo

  Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

  Ni sawa na masikini kusifia kuni na mkaa kuwa vinaivisha vizuri sana chakula ... lol Wanakuwa wapo sahihi
 6. munisijo

  Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

  Wewe ni wa kundi la ''Mwendawazimu''
 7. munisijo

  Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

  True love is real but unconditional love ain't
 8. munisijo

  Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

  Unauliza then unajijibu mwenyewe baadaye unauliza tena In very short: Tunaomba usitusemee tuliopo kwenye ndoa Ndoa ni zaidi ya vyote unavyoviwaza na si tu kwa ajili ya kuchakachuana Mwisho, ukitaka kujua huwa ni kwanini tunaoa then endelea kumuomba Mungu umpate wako wa ubani, ndio utanielewa...
 9. munisijo

  BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

  ''Don't shoot the messenger'' ...
 10. munisijo

  Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

  Mkuu Huyo ndio mwanamke wa kuoa sasa, hebu mshukuru sana na ukiweza mnunulie hata kazawadi kwa kuwa so real. Hiyo nyundo amegonga hiyo kichwa bro, nakupa miezi 6 lazima ubadilike na kujielewa, na zaidi lazima utoboe. Yaani ni kama kampiga teke chura, huwa hamnaga kitu inaingia kichwani kwa...
 11. munisijo

  Nini huwa sababu kuu za kuachwa au kusalitiwa na mpenzi, mchumba au mke wa ndoa?

  Very easy question: - KUAMUA Pamoja na commitment watu wanawekeana ikiwemo NDOA, still, ku cheat ama kuto ku cheat ni uamuzi binafsi wa mtu, haijalishi kitu kingine chochote kile; haijalishi hela, zawadi, ugomvi, upendo, mapenzi wala afya ya mtu ... cheating is a decision someone make. Mtu...
 12. munisijo

  Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

  What is the origin of life?
 13. munisijo

  Magufuli alikuwa muongo sana

  🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 14. munisijo

  Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

  Ukute hata kuvaa nguo za kimasai ni adhabu ''muweza yote'' kaitoa ili mtu akapigwe na baridi kali ukumbini Huwezi jua aiseeeeeeeee
 15. munisijo

  Christian man for a marriage

  Umechelewa sana, amka. Tupo karne ya 21 now
 16. munisijo

  Christian man for a marriage

  Kwa sababu wanaume wanaostahili kuwa 'waume' wamepungua sana kwenye pool hivyo demand is bigger than supply. Baadhi ya sababu ni kama vile: Wanaume kutokuwa tayari kuoa hata kama ana sifa zote Wanaume kuamua kuchelewa sana kuoa Ukosefu wa kipato cha kutosha kuendesha familia i.e. COVID...
 17. munisijo

  Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

  Hebu orodhesha gharama za ziada za kuanza kuifanyia hiyo biashara ya kuingiza TZS 100K kwa siku i.e. kodi na vibali, kubadili seat
 18. munisijo

  Kifo kipoje?

  Kufa ni kama kupotelea kwenye usingizi mzito sana, hamna maumivu yoyote utakayohisi - na wengi wanaokufa huwa hata hawajui kama wanakufa isipokuwa kwa zile dalili walizozijua wakiwa wazima, nje ya hapo hudhani wanazimia tu na watazinduka. Unakumbuka ile siku umechoka sana then ukapitiwa na...
 19. munisijo

  Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

  Labda nikuibie siri moja kubwa sana ya sisi wanaume ambayo kwenye kikao chetu tumekatazwa asilani tusiitoe - Ipo hivi, kwa wanaume wote tulio oa, huwa hatuoi kwa hiyari yetu, yaani I mean huwa hatutaki kuoa, siku zote tuna tamanigi tuendelee kula tu maisha Tatizo huwa linatokea pale tu ambapo...
 20. munisijo

  Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

  Kura yangu ya ndio itakuwa kwako ...
Top Bottom