Search results

 1. chivala

  Uchuzi unaonuka na usionuka, ni dalili ya afya au magonjwa?

  Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka. Suali...
 2. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Hii wali kwa samaki, ilinifanya niimezee mate mapande ya samaki.
 3. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Mkuu ni kweli, sio mimi ni mwenza wangu mwenye mafua, so ana wasiwasi wakuambukiza wengine kama ni hii kitu Coronavirus
 4. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Nimekupata, shukran mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
 5. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Ndalilo Mkuu hebu funguka vizuri zaidi, katika kujumlisha sh 161,000 ni + 350,000 nini?
 6. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  ahsante sana mkuu kwa kunijuza na kunipa ufafanuzi mpana[emoji120][emoji106]
 7. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Mkuu shukran, kwa maelezo ulionipa. Ila inamaana ukienda kupima kama Agakhan, jumla ya qarama inasimama tzsh290,000?
 8. chivala

  Gharama za kupima Covid-19

  Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
 9. chivala

  TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

  R.I.P Sophia. Maskini!sura ni ya hayati Mwalimu Nyerere, lakini ni nini chanzo cha mauti na kafa akiwa na umri gani?
 10. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Hii supu ya maji nini?
 11. chivala

  Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  Huyo mwenye kipensi ziwa lake, lahaulah! Ziwa limesimama kama "bikira"
 12. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Mkuu nakubaliana!
 13. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.
 14. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Hii kitu Panya, nani hajaionja?
 15. chivala

  #COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

  Mkuu inawezekana vaccinenology kaisomea kwenye mitandao tu, kwavile enzizake za usomi, hakikuwa na habari ya chanjo ya vaccine.
 16. chivala

  Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

  Anaendelea kuzingua na tozo za miamala, na huku sisi tukiendelea kudemshwa na maisha magumu.
 17. chivala

  Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  Mbona kama kitumbua chake kinaonekana ni kidogo tena kimeufyata?
 18. chivala

  Uzi wa vyakula tu

  Matunda, nayakubali!
 19. chivala

  #COVID19 Agizo la RC Makala kuhusu ujazo wa daladala na uvaaji barakoa limedharauliwa au halikueleweka?

  Wapwani sisi, tena wimbigani la kaskazi au la kusi? Tuambizane mapema..
Top Bottom