Search results

 1. Arabian queen

  Nitawamiss nyote

  Hali zenu wapendwa [emoji2]. Nianze bismillah.... Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache. nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis...
 2. Arabian queen

  Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

  Hali zenu. Jukwaa hili katika thread hii ntakua napost urembo wa asili ambao natumia na naendelea kutumia na pia ukanisaidia,hope pia na nyinyi utawasaidia,na ningeomba mirejesho ili nijue maendeleo na imewasaidia kwa kiwango gani as how imenisaidia mm,i hope tutaungana mkono na kua kitu...
 3. Arabian queen

  STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

  MAPENZI NI MATAMU ILA ACHA KIHEREHERE.. Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe sana. Jamaa mmoja alijikuta taabani mara baada ya kumkurupukia mpenzi wake. Jamaa mmoja alikuwa na...
 4. Arabian queen

  Never give up kwa waliowahi kuumizwa katika mapenzi, yajue haya...

  Kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu, fikra, mawazo, maumivu, kujiona huna thamani, jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda. Let him or her go kama alivotaka, duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yeye na...
 5. Arabian queen

  Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

  Hali zenu, Hivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke, kuimarisha au kuidhoofisha. Sasa leo nataka nikupe experience ya mambo ambayo itasaidia kuijenga na kuongeza mapenzi katika ndoa yako na kwa wale watarajiwa wayajue haya. Nakuapia ukimfanyia mmeo haya...
 6. Arabian queen

  Tengeneza wewe mwenyewe peel face mask nyumbani

  Zifuatazo ni peel face mask ambazo zitasaidia kukisafisha uso kutoa blackheads usoni ,na mafutamafuta na uchafu wote,na kukuwacha na ngozi safi kabisaa.msishangae vyote hivo mm nmeshajaribu na vimenifaa ndo nmeviorodhesha hapa nanyi mjaribu huwezi jua pengine ndio itakua suluhisho ya tatizo lako...
 7. Arabian queen

  Tengeneza body scrub nyumbani kwako

  Hali zenu wote wana JF. Zifuatazo ni body scrub zitakazokutakatisha mwili,matumizi yake ni kila wiki mara moja. [emoji254]UNGA WA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI. vichanganye vyote ivo upate ujazo ambao uwe paste nzito,then uscrub mwili wote. [emoji254]SUKARI,ASALI NA NDIMU AU LIMAU. sukari vijiko...
 8. Arabian queen

  Kwanini wanaume wa bara wanapenda vidosho wa Pwani?

  Katika Kijiji cha Tombo, Kaunti ndogo ya Kakamega kaskazini, kuna mama mwenye upweke mwingi. Bwanake alienda jijini Mombasa kutafuta riziki, hali ambayo imegeuka kuwa dhiki. Bi Shikwekwe alibubujikwa na machozi alipokuwa akinihadithia jinsi bwanake alivyonaswa na kidosho wa Mombasa. Baada ya...
 9. Arabian queen

  Jf naomba mnitag waandishi wa simulizi

  Simulizi na watunzi,mana nmejitahid kutafuta bado sijaona,anaejua anifahamishe:(
 10. Arabian queen

  Je unajua kua listerine inatumika katika matumizi mengi?soma hapa

  Hii nmeifanyia utafiti mm mwenyew,miongoni mwa dawa zinazotumika kusukutua mdomo baada ya kupiga mswaki ikiwemo listerine,oral b na zinginezo,inajulikana kua faida yake ni kulinda fizi na kua imara ,kuondoa vijidudu na kuweka refreshment ktk mdomo. ...faida zimgine ni izi apaa.. ----inasaidia...
 11. Arabian queen

  Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

  Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu. Mara simu ýäñgù ikawa inaita. Kucheki namba ngeni. Nikapokea baada ya salamu. Me→nani mwenzangu...
 12. Arabian queen

  Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali

  Boy:- hallow Dem:- hellow Boy:- ivi jina lako nani vile Dem:- am miss precious A. K. A dope girl Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care Dem:-no no baby usipige Ah ah Hapana baby mi naitwa Andongolile Mwakasakafyuka
 13. Arabian queen

  Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???

  ANGALIA HUU MCHEZO WA KUTUMA MESSAGE MARA ZIKATAE KWENDA MARA ZIKUBALI??????NETWORK MBOVU KAMA HII HAIJAWAHI KUKUTA????? GARLFREND»»hellow sweetheart BOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED) GARLFREND»»kwanin hutaki kujibu sms yangu,au huna mda»?? BOYFREND»>najitahid kukujibu lakin mtandao...
 14. Arabian queen

  Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua

  Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa. 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke...
 15. Arabian queen

  Cheki hawa wachungaji

  CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF...
 16. Arabian queen

  Huyu mama kazidi sasa

  Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini...
 17. Arabian queen

  Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

  Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?
 18. Arabian queen

  Huyu bibi kazidi sasa

  Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua"_, Bibi kajibu _"Bado Mtama"_bibi ujinga hapendagi"
 19. Arabian queen

  Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

  JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti. Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni Hivyo wanandoa...
 20. Arabian queen

  Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

  MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali? MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi...
Top Bottom