Search results

 1. Mr Misifa

  Mechi kati ya Liverpool na Genk inarudiwa muda huu Supersport 3

  Wakuu habari za muda huu? Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya supersport3 wale wenye kisimbuzi cha Dstv sjui ni chanel gani nyingine, ila mimi nmeona hio ndiyo...
 2. Mr Misifa

  Siku ya kwanza ya Maulid Kitenge, Edo Kumwembe, Binti Suleiman, Yusuf Mkule na Ahmed Abdalah ndani ya Sports Arena

  Nmecheka. Kwa saut nilipoona hilo neno bhange [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 3. Mr Misifa

  Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

  Kumbe na ww umemshtukia ee[emoji848][emoji23][emoji23]
 4. Mr Misifa

  Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

  Hongereni sana kwa hatua hiyo mzuri
 5. Mr Misifa

  Attention: Apps zifuatazo ni hatari zaidi kwa uhai smartphone yako

  Sawa mkuu tu nasubir hilo somo la orodha ya apps zinakula sana betri na mb
 6. Mr Misifa

  Vodacom msijisahau, kuweni washindani

  Itabdi waifanyie kazi aisee maana mtu mwingine anakuwa na uwezo wa kufanya hatar kweny cm yangu
 7. Mr Misifa

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Mkuu now halotel kuna elf 10 pia Royal bando, mpango. Mzima, nk
 8. Mr Misifa

  Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

  Hamna mkuu nmeiona na nmeiuliza bei yake ukiwa na 330k unakuja nayo kama huamini nipe nikakuchukulie
 9. Mr Misifa

  Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

  Haya hamna kitu onakula chaji sana haitunzi
 10. Mr Misifa

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Asante sana ikitoka mnijuze ila nongetamani unisaidie nijue hiyo ulosema potrait ndo mavitu gani hayo aisee[emoji848][emoji848]
 11. Mr Misifa

  Bei ya Spark 4

  L8,c8,m7, k9+, infinix note 4 pro nk angalau hizo mtk mpya mpya za ki sasa zina unafuu sana ila za kizamani hamna kitu
 12. Mr Misifa

  Bei ya Spark 4

  Ni kweli usemayo ila mimi nmekuambia hata simu itengenezwe na nani iwe Samsung au iPhone ikiwa katumia cheapest ya mtk sinunui labda nipewe buree
 13. Mr Misifa

  Bei ya Spark 4

  Hata mimi mkuuu mtk sigusi labda nipewe buree
 14. Mr Misifa

  Wangapi mmejiandaa kumpokea na kumsikiliza Maulid wa Kitenge kwa mara ya kwanza kesho asubuhi.

  Habari za mda huu wajameni nadhani mtakuwa poa sana Kama ambavyo kichwa cha mada kinavojieleza vizur je ni nani amejiandaa kuwa tayar kumpokea kwa kumsikiliza mwana habar na mtangazaji pendwa na nguri wa habar za michezo Tanzania wa kuitwa Maulid wa Kitenge na kwenzake wa 3 kwa mara ya kwanza...
 15. Mr Misifa

  Bei ya Spark 4

  Kwa msaada wa wengi nmeamua kuacha uvivu wa kutyope Mi nilikua nawachora tu wanavo jazana ujinga eti Samsung hazifai nawacheka kwa dharau nmetumia tecno. Kama simu 4 hivi mke wangu kama 3 sina hamu na hizo cm zinakera sana kuganda ganda kila mara haitaku kufanya vitu vingi kwa wakat mmoja...
 16. Mr Misifa

  Bei ya Spark 4

  Kwa sifa hizo na bei hiyo bora uchukue Samsung a10 kwa 260k au A20 kwa 320k yenye kio cha super amoled, fast changing ndani ya saa 1¼cm imejaa 100% performance nzur haigandi gandi kijinga kama hayo ma infinix na matecno,
Top Bottom