Search results

 1. dingihimsel

  Mashuka ya pamba kutoka UK (cotton)

  Mashuka safii na mazuri ya Mtumba kutoka UK. (Uingereza)100% cotton Size7×8 Wakazi wa dar es salaam unaletewa kwa sh elfu mbili . Mashuka mawili na Foronya nne tsh 50,000 Shuka moja foronya mbili ni tsh 25,000 Mikoani unatumia kwa gharama ya tsh elfu tano tu. Namba zetu ni +255655266249 hii...
 2. dingihimsel

  TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

  Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975. Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma...
 3. dingihimsel

  Nataka kumuua mbwa

  Jamani!! habari wandugu baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu. Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri
 4. dingihimsel

  Nauza subwoofer na feni

  Wandugu, Imebaki Pasi nauza 20,000 no za mawasiliano ni 06574385 nipo dar karibuni!
 5. dingihimsel

  Nyumba inapangishwa

  Habari zenu, nyumba inapangishwa ipo temeke vertenary ina vyumba vitatu,choo kipo ndani chumba kimoja ni self contained karibuni hizi ni baadhi ya picha za vyumba hizo chini kwa mawasiliano zaidi no hizi apa 0657438581
 6. dingihimsel

  Nauza suruali za kadeti

  Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo namba yangu 0657438581 WhatsApp pia ipo hizo ni baadhi ya kadet karibuni Size kuanzia 30 mpaka 40
 7. dingihimsel

  Mrembo kwenye ubora wake

  tanzania ya viwanda
 8. dingihimsel

  Picha ya siku

  Mzee Muhogo mchungu,sema chochote kwake
 9. dingihimsel

  Samsung duos inauzwa

  Simu iko fresh sema housing ya kubadil ila pia ina screen protector ya Glass bei ni 150,000 maongez yapo karibuni
Top Bottom