Search results

 1. E

  Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

  Ndugu Habarini, Natumaini nyote ni wazima humu ndani. Mimi ni kijana Mtanzania niliyekuwa nimeomba maombi ya ualimu Serikalini lakini kwa mipango ya Mungu nikakosa nafasi hiyo. Hivyo naomba kwa yeyote ambaye anayeweza kunisaidia shule yoyote ya Private kwa ajili ya kufundisha nimtumie CV...
 2. E

  Hata sasa Mungu amenisaidia. Hakuna lililopo chini ya jua litakaloshindikana

  Ndugu Habari. Namshukuru Mungu amenisaidia sana katika wakati mgumu niliopitia wakurushiwa roho chafu za ndoto. Kipindi cha nyuma nilileta mada ya ndoto nilizokuwa naziota na za kunitesa nafsi Yangu. - Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba...
 3. E

  Kwa wakazi wa Mtwara Chuo kipi kizuri cha elimu ya ufundi?

  Ndugu zanguni nina rafiiki yangu ambae anahitaji kwenda kuanza mafunzo ya Ufundi kwenye Chuo Cha VETA hapa Mtwara Hivyo Ndugu ninaombeni kwa yeyote anayefahamu chuo kizuri cha VETA kilichopo mkoani Mtwara chenye mafunzo mazuri haswa ya Umeme na uchomeaji. Asanteni
 4. E

  Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

  Ndugu,Habarini za muda huu.Nina imani nyote humu ni wazzima.Mimi ni mwalimu hivyo tayari nimemaliza kuweka vigezo vyote.Ninamshukuru Mungu. Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu mara Baada ya maombi(application) kufanyika huwa majina yanatangazwa muda upi kwa ajili ya kazi au kwenda kwennye...
 5. E

  Kama CRDB wana Makato Kwa mwezi huwa ni kiasi gani?

  Ndugu Habarini za Asubuhi, Samahani naomba kuuliza: Je, CRDB Bank huwa na makato? Kwa sababu nilifungulia Akaunti ya CRDB miezi ya nyuma halafu nikaweka kiasi flani cha Pesa kama laki moja Hivi Nikakuta Zimetolewa Baadhi. Imeniuma sana na kudhani kuna mtu kazipunguza. Na je, ni Bank zote huwa...
 6. E

  Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba tafsiri ya hii Ndoto

  Ndugu habarini, Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku. Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea. Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya...
 7. E

  Ndugu yangu anataka kazi TRA

  Habarini ndugu, ninaomba msaada jinsi ya kumsaidia ndugu yangu huyu kupata au kuwa na kazi TRA. Nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule Arusha. Jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi TRA. Kiukweli matokeo yake ni...
 8. E

  Je, kuna uhusiano wa Meditation na Uchawi?

  Mambo vipi wadau, Nataka kuanza kufanya zoezi la meditation kwanzia leo. Swali langu: Je, kuna uhisiano wa meditation na uchawi? Ninasema hivi kwasababu mimi nimeokoka nampenda Yesu. Kuna watu huwa wanasema medition ni uchawi au kuita mapepo sijui mara nguvu za giza naombeni msaada ili baadae...
 9. E

  Naomba msaada wa haraka kutatua suala hili

  Ndugu zanguni wana Jamii Forums habarini zenu, kwanza kabisa yote kwa yote natumaini nyote wazima Baada ya hayo naomba mnisaidie jambo linalonisumbua, mimi ni mhitimu wa moja ya Chuo cha maeneo ya Mbeya. Kuna ndugu yangu kanishirikisha kuna sehemu pana kazi, ambapo ni maeneo ya kiwandani huko...
 10. E

  Kwa vyeti hivi naweza kupata kazi?

  Ndugu wanajamiiforums habarini, ninaomba msaada kwenu kuhusiana na suala hili la kuomba kazi. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka juzi ngazi ya diploma,na nimechukulia mambo ya ualimu nilitaka kuomba kazi ilihali sina cheti cha form six baada ya mambo kuenda ndivyo sivyo sasa nimesoma mbali sana,pia...
Top Bottom