Search results

 1. Mibas

  Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

  Sitasahau mwaka 2003 nilipotumia ada ya shule kwenda South Africa na kukwamia Lisaka-Zambia. Nilitumia akili nyingi na kufanikiwa kuishi katika kambi ya jeshi la anga la Zambia (ZAF) kwa muda wa siku 40 wakati raia asiekua mzambia alikua haruhusiwi hata kuingia mapokezi ya getini. Ubarikiwe sana...
 2. Mibas

  Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

  Kigwangala vipi mbona umeanza kujipigia debe mapema Sana?
 3. Mibas

  Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

  Zipi na zimekunufaisha vipi individualy?
 4. Mibas

  Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

  Huyo kaka yako kwa mtaji wa 70M kwa mwezi anaingiza kama 1M kwa mwezi. Ili arudishe hela yake itamchukua karibu miaka 6. Niliwahi kufanya biashara ya maji kwa mtaji wa 42M nikiatoa dar na kuuzia mwanza, Mara na Geita, kwa mwezi nilikua napata karibu 6M ya faida. Kwa mwaka mmoja tu nilikua napata...
 5. Mibas

  Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

  Bila shaka wewe utakua singo maza
 6. Mibas

  Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi Dar kuanzia Februari 24

  Soko la Kisutu linawekewa jiwe la msingi?
 7. Mibas

  Tanzania yamkataa balozi mpya wa Zambia.

  Ni ya kweli ndugu.
 8. Mibas

  Iran yavunja mkataba wa nyuklia kwa kurutubisha Uranium licha ya kuonywa

  Iran iliivamia Iraq mwaka gani ndugu?
 9. Mibas

  Tanzania yamkataa balozi mpya wa Zambia.

  Tulimkataa, sasa anakula bata huko Brussels.
 10. Mibas

  Taarifa: Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Afanya Mazungumzo na Mbunge wa Viti Maalumu Mheshimiwa Esther Matiko

  Kama michango ya watu inakukera hama nchi punguza kubweka hapa.
 11. Mibas

  Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

  Ukiwa shabiki wa ccm na akili zinakua mgando. Angalia ulichoandika!
 12. Mibas

  Afrika Kusini wasitisha utoaji wa chanjo ya Astra Zaneca

  Acheni huo upuuzi ndugu.
 13. Mibas

  Tujuzane kuhusu AC je ni kweli zinanyonya umeme hadi unit 35 kwa siku?

  Dakika moja hutopata mahesabu sahihi maana kama ni AC 1 hata unity 1 haitafika.
 14. Mibas

  Dodoma Hospital...

  Vous semblez avoir un problème de santé mentale. donc je ne peux pas vous blâmer avec ce commentaire insensé. ENFER AVEC VOUS.
 15. Mibas

  Dodoma Hospital...

  Kwa hio?
 16. Mibas

  Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

  Huo upuuzi mumeulea nyie kwa kukubali kuwapa hizo hela. Mnatoa pesa ambayo hamsomewi mapato na matumizi yake?
 17. Mibas

  Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

  Na vipi kuhusu Agha Khan Hospital inayowatoza wagonjwa wa aina hio 4,000,000 kwa siku?
Top Bottom