Search results

 1. Michael Chairman

  Mbinu rahisi za kuongea na Rais Magufuli.

  Mazungumzo magumu si jambo rahisi , moja ya jambo linalowatatiza wengi sana kwenye maisha ya kila siku na kama hauna mbinu dhidi ya mazungumzo magumu yanaweza yasikuache salama kihisia na kiakili, nchini kwetu kwa sasa tunaye Rais ambaye utashi wake mkubwa ni kuona mambo yanakwenda na kama kuna...
 2. Michael Chairman

  Chato kuwa Gemba ya nchi kwani kuna ubaya gani?

  Wajapani ni moja ya nchi ya watu wanaochapa kazi sana, na utamaduni wao huu wa kuchapa kazi imewasaidia sana kupaa vileleni mwa nchi zenye uchumi bora na magunduzi mengi katika safari za kimafanikio, moja ya eneo ambalo wajapani wanalipatia uzito sana kwenye kazi ama maeneo ya kazi ni mahali...
 3. Michael Chairman

  Mrejesho wa mafunzo ya Meditation na Yoga kwa Mwanza jana.

  Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo , Angela Adolf pamoja na washiriki wote walioanza mwanzo mpaka mwisho , pamoja na Mwal Reiner Charles...
 4. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo , Angela Adolf pamoja na washiriki wote walioanza mwanzo mpaka mwisho , pamoja na Mwal Reiner Charles...
 5. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  WANAKARIBISHWA UKITUSAIDIA KUWAJULISHA TUTAFURAHI SANA
 6. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  Huenda isiwe hiyo ama ikawa hiyo karibu sana nawe
 7. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  kanuni isiyochakaa kuhusu maisha inasema kila zama na kila utawala kuna wanaoneemeka na wanaoteseka na mwisho (maisha ni mateso na mateso hayawezi kuondolewa na akili za kawaida ambazo haziwezi kutulizwa na kutafakari kwa kina namna ya kuondosha mateso..... Karibu sana nawe mpendwa
 8. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  beba msosi kama unaweza , njoo na mto mdogo itapendeza sana
 9. Michael Chairman

  CAG:- Benki ya Posta ilitumia Million 495 kuchapa nembo

  msome CAG upya kakuambia kampuni ya awali ilikuwa na uzoefu wa kazi husika
 10. Michael Chairman

  Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  Kwa mara nyingine Light and sound meditation Africa ,Inakuletea mafunzo ya kiroho jijini Mwanza yatakayofanyika kwa siku mbili yaani jumamosi na Jumapili 13/14 /4 /2019 kuanzia saa tatu asubuhi ,Maeneo tulivu ya Royal sunset campsite beach Malimbe Luchelele. Unakaribishwa wewe na familia yako na...
 11. Michael Chairman

  Zifahamu athari za kucheza kamari! Tafadhali chukua hatua

  naona serikalia kupitia shehe wamesitisha matangazo ya michezo hii
 12. Michael Chairman

  Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

  wapo wengi tu tena wengi kuliko walio na malengo
 13. Michael Chairman

  Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

  umesema unatafuta usiku na mchana na sasa unaona giza tu haupati unachokitaka maswali muhimu nimekuuliza kwamba umeweka malengo cute ? je hapo unapotafutia unafikiri ni mahali sahihi?
 14. Michael Chairman

  Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

  pole cute je umeweka malengo na je hapounapotafutia unafikiri ni mahali sahihi ~Michael The Great
 15. Michael Chairman

  Wazo juu ya kuwa mjasiriamali

  kwa kiwango kikubwa maisha yako unayafanyia utani , na mwisho huwezi pata chochote bora anza kubadili tabia zako , hata uandishi wako tu unaonyesha hauwezi kuwa na wazo kwa msaada zaidi wasiliana name kwa whatsapp 0759880010~ Michael The Great one.
 16. Michael Chairman

  Maisha yangu yanakufa, nifanyeje?

  Majibu yapo ndani yako na si nje yako , unachoweza kufanya kuyapata majibu hayo ni pamoja na kujiiuliza maswali magumu na uyapatie majibu sahihi na maswali hayo ni kama haya yafutatayo... Ni kitu gani haswaa unataka kwenye maisha yako? Kina umhimu gani /thamani gani kwenye maisha yako? Ni kwa...
 17. Michael Chairman

  Njoo tujifunze namna ya kupanga , kuweka malengo na kuyafikia.

  bure mkuu ni MB zako tu mpaka sasa group hili linamiaka miwili ni matokeo ya wengi kufanikiwa kutokana na kundi hilo na wengi wameanzisha biashara na kuchukua usukani wa maisha yao.... wasiliana name kukuunga kwa namba hizi 0759880010 kwa whatsapp.~Michael The Great one
Top Bottom