Search results

 1. 1562013

  X wangu ameolewa lakini haipiti wiki lazima anitafute kwenye simu

  Jamani hamjambo, (napenda in mkulu voice). Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa. Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea simu zake? Sent from my...
 2. 1562013

  Natamani Jecha angesimamia uchaguzi wa TLS

  Kwanini Jecha hakupangwa kusimamia uchahuzi wa Tanganyika Law Society? Ingependeza sana kama angelipewa jukumu lile
 3. 1562013

  Gharama za ujenzi wa swimming pool

  Habarini wandugu, poleni kwa mizunguko ya kutwa nzima. Napenda kujua gharama za ujenzi wa swimming pool ndogo tu ya matumizi ya nyumbani. Natanguliza shukrani za awali. Over!
Top Bottom