Search results

 1. The Garang

  Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

  Maandiko matakatifu yananambia ... ndoa naiheshimiwe na watu wote... Hio God fearing sijajua ikoje sijasoma comments zote, anyway. Naunga mkono mwanamke akiwa mpole msikivu mnyenyekevu hana kelele nyumbani kuna noga sana.
 2. The Garang

  Ushauri wa ndoa hii changa unahitajika kwa haraka

  ajaribu kuvaa bullet proof
 3. The Garang

  Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

  wanamme tucheze vizuri na UJANA mambo yakuja kusema ... siunajua mambo ya ujana... sio vema
 4. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  kaka mwenyewe unajua men huwa hatuna story ndefu eti tukae tuchat tu tofaut na hawa wenzetu. Hizi ni preference tu za watu ambao nimeona wamenivutia coz wengine wameweka cartoon so hujui unachat na nan. Nliingia chakike sababu nlichoweka akilini mwangu ni tofauti na nlichoona
 5. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  kuna jamaa nimemjibu hapo juu kaka[emoji23]
 6. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  yaaap mkuu ila unaweza kuta umri ni wa kina Kasie [emoji23]
 7. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  [emoji120][emoji120]nimeambiwa nipunguze mawasiliano naye, natumai itasaidia
 8. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  [emoji23][emoji23][emoji23]kama unamjuaa Huddah wa Kenya basi ndoyeye
Top Bottom