Search results

 1. Gwallo

  Bei ya mahindi kwa sasa

  Wanabodi habari za leo! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nimelima mahindi na nikayahifadhi store maguni si mengi kama 200 hivi. Je kuna mdau yeyote anayejua bei ya kilo ni Shilingi ngapi kwa sasa kwenye eneo lako ulipo? Kwa Mkoa wa Arusha na maeneo mengi ya Wilaya zake bei ina-range...
 2. Gwallo

  Nitazingatia mambo yafuatayo kwa ajili ya nchi yangu Tanzania

  Kwa muda wa siku 6 nitakuwa na wajibu ufuatao kwa ajili ya nchi yangu Tanzania. Kumwomba Mungu atupe kiongozi anayemtaka yeye. Uchaguzi uwe wa Huru na Haki 2. Nitawaombea wapiga kura na wagombea wote wa vyama vyote wawe na afya njema na hatima waweze kupiga kura. 3...
 3. Gwallo

  Nimeshindwa kabisa kulalia upande wa kushoto

  Naombeni msaada wa tatizo ninalokabiliana nalo tokea Sept 2012 hadi sasa. Nikilala siwezi kutumia upande wa kushoto na pindi nikifanya hivyo naona kila kitu kinazungunga mle chumbani na mara nasikia kichefuchefu nakuanza kutapika. Niliwahi kwenda kwa wataalamu wa Masikio akaaniambia hiyo ni...
 4. Gwallo

  Urithi wetu kugeuka kuwa umaskini wetu

  Katika moja ya makosa makubwa yaliyofanywa na serikali inayoongozwa na ccm ni pamoja na kuuza nchi yetu kwa matapeli wanotumia kivuli kiitwacho ‘WAWEKEZAJI’ nitazungumzia maeneo mawili muhimu tu ya mengi yaliyopewa kwa wawekezaji. 1. Loliondo- Eneo hili amepewa mwekezaji mwarabu...
 5. Gwallo

  Mfano huu wa Rais wa Zambia mheshimiwa Sata unafaa kuigwa na JK!

  Rais wa Zambia mheshimiwa Sata amesitisha shughuli zote za kusafirisha Shaba kutoka Nchini mwake, amesema mpaka hapo kanuni na utaratibu zilizowekwa kuangalia upya na Serikali yake. Vipi hii stop kama JK angepiga maarufuku kusafirisha madini ya Tanzania, halafu akaagiza mikataba yote ichunguzwe...
 6. Gwallo

  Sifa zifuatazo zinatosha kuonekana hufai katika jamii ya wana CCM

  Kutoshabikia kabisa falsafa ya kuvua Gamba. Mshabiki mzuri wa siasa hasa wa sera za CHADEMA na viongozi wake.:kev: Msomaji wa Gazeti la MwanaHalisi, Raia mwema, Mwanachi,Nipashe na TZ daima. Maeneo ya kuishi Tarime, Arusha, Karatu,Hai, Kigoma, Dar,Mbeya n.k Kukata Budget iliyosomwa Bungeni na...
 7. Gwallo

  Mahali ilipo ofisi ya CHADEMA Arusha.

  Wana JF nisaidie, swali langu ni kwamba kuna mtu yeyote humu jamvini anafahamu mahali ilipo ofisi ya CHADEMA katika jiji la Arusha. Kuna vijana wanalalamika kwamba tunataka kupata Kadi za Chama, Ahsanteni
 8. Gwallo

  Elections 2010 DR. Slaa jitokeze na utueleze ukweli wa kura zetu zimeenda wapi?

  Dr. Slaa bado wapiga kura wako tunataka kufahamu ulishindwa kwa kura ngapi au ulishinda kwa ngapi na uchakachuaji ulitokeaje????? nimechoka kuvumilia naomba Dr.Slaa jitokeze sema na wananchi. Hizo data bado mpaka leo jamani.
 9. Gwallo

  Mambo machache tu kati ya mengi yaliyoipelekea ccm kuwa chama cha upinzani karatu.

  Mambo machache tu kati ya mengi yaliyoipelekeaa ccm kuwa chama cha upinzani karatu. 1.Mwaka 1995-2000 kipindi cha kwanza cha Dr.Slaa alifanya kazi yake katika mazingira magumu kwani viongozi wote wa vijiji walikuwa wameonywa kutoshirikiana naye. 2.Dr.Slaa bila kukosea alitumia mwanya huo wa...
 10. Gwallo

  Elections 2010 Spika mwenye sifa zifuatazo ndiye anayetafutwa na ccm

  1.Spika atakayelinda maslahi ya mafisadi. 2.Spika ambaye hataruhusu mijadala aina ya richmond,epa,meremeta,tangold,mikataba mibovu ya madini,vitalu vya wanyamapori n.k..... 3.Spika ambaye yuko tayari kuwa remoted na mafisadi. 4. 5. 6. CCM makini, Chadema, NCCR,TLP,UDP CUF tafadhali kura yako...
 11. Gwallo

  Elections 2010 Dr. Slaa anatafutwa kujibu maswali yafuatayo.

  Jana nillikuwa katika jimbo la uchaguzi la karatu na nilikutana na watu wengi wenye maswali yafuatayo. 1.Je matokeo yaliyotangazwa na tume nec yanatofauti gani na matokeo kwenye vituo? 2.Je Dr. Slaa alishindwa ktk uchaguzi uliopita? kama ndiyo jibu ni ndiyo kwa kiasi gani cha kura kama ni laa...
 12. Gwallo

  Elections 2010 Dr. Slaa aitaka tume ya uchaguzi kusimamisha zoezi la kuhesabu kura mara moja

  Dr. Slaa ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilitaka tume ya uchaguzi kusitisha zoezi kwa kile anachosema usalama wa taifa kuhujumu kura za watanzania. Source taarifa ya habari ya saa 10.TBC
 13. Gwallo

  Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

  Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa. Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz. Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua...
 14. Gwallo

  Elections 2010 Arusha ililipuka

  Arusha ililipuka jana majira ya jioni, furaha isiyoweza kuzuilika mara baada ya msimamizi kumtangaza Lema kuwa ndiye Mbuge wa Arusha na kumbwaga Matilda wa ccm, yowe, Vifijo na nderemo ilisikika katikajiji la Arusha, njia zote ndani ya jiji ilikuwa haipitiki kirahisi kwani vijana na wazee...
 15. Gwallo

  I apologize!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

  Hiiiiiiiiii JF community, I apologize for not following the step on introducing myself to you all, I'm very new to this community please accept me as member and I need your corporation and advice from you all (THE GREAT THINKERS). Thank you all JF
Top Bottom