Search results

 1. Mafiningo

  Emoji ambayo siipendi

  [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Siipendi hii emoj kuitumia na inaniudhi sana mtu akiitumia kwangu. Kwa anayejali hisia zangu please, asiweke hii emoj kwenye post yangu. Mimi binafsi sitaiweka kwa post ya mtu yeuyote. Amen.[emoji120]
 2. Mafiningo

  George W. Bush will attend Biden's inauguration

  Former President George W. Bush will attend President-elect Joe Biden's inauguration. Bush and former first lady Laura Bush will attend the inauguration, according to Freddy Ford, Bush's chief of staff. The Bushes also attended Barack Obama and Donald Trump's first inaugurations. "President...
 3. Mafiningo

  Ukatili, uuaji, uonevu na ubabe

  Wana jf nawaomba tuamue kwa haki. Ni chama gani kinashabikia hayo mambo hapa nchini Tz, na pia ni chama gani kinayapinga hayo? NB: katika kucomment tusiingize uchama bali moyo wako unene. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Mafiningo

  Wanawake mnaopenda wanaume wenye magari, ushauri kwenu

  Mimi nitawaambia wanawake wanaume wanaowafaa kuolewa nao. Mwanamke olewa na mwanaume ambaye pamoja na kununua gari jipya bado analijali na kulitunza gari la zamani. Ukiona mwanaume anayelisusa gari lake la zamani kisa kanunua gari jipya,,, huyo mwepukeni kabisa na mumkalie mbali. Usisahau...
 5. Mafiningo

  Je, ni kweli Kujifukiza kuna madhara?

  Niliwai sikia mitandaoni kuwa kujifukiza husaidia kupambana na covid-19. Pia niliwai ona sehemu humu mitandaoni kuwa kujifukiza kunaweza leta madhara kwenye mapafu. Nimetembelea kijiji kimoja ambacho watu wa huku wameitikia vema huu wito wa kujifukiza kutoka kwa viongozi wetu wa kisiasa. Hawa...
 6. Mafiningo

  Nahitaji gari aina ya Crown

  Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM. Asante sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom