Search results

 1. xavieen

  Kampuni ipi inakata makato madogo?

  Wazoefu naomba kuelekezwa ni kampuni ipi ambayo huwa inacharge makato madogo iwe 0.0% au 0.5% wakati wa kulipia bidhaa au kutumia kwenye ishu za kibiashara kutoka mitandao hii ya simu. Baadhi nilizowahi kutumia SELCOM wanakata 1% MLIPA wanakata 3% LIPA KWA MPESA 0.5% (hii nmeitumia zaman kidogo...
 2. xavieen

  Nimeibiwa na 'pisi kali'

  Wakuu leo mtoto wa mjini nmeingizwa mjini Huyu demu tulikutana kwenye sherehe moja ivi.muda wote alikuw bize na simu,alionekana mpole,demu fulan iv mweupee mrefu ila msambwanda wa kawaida. Niliiendelea kumscan pale badae kuna mhuni nlimwagiza akanichukulie namba,demu aligoma akidai kama nataka...
 3. xavieen

  Kipindi unaanzisha biashara hali ilikuwaje?

  Wakuu habari, Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita Katika biashara wengi huwa tunawahi kukata tamaa kwa kuwa tunaingia tukiwa na matarajio makubwa. Walio wengi...
 4. xavieen

  Happy birthday to you Ryan Conner

  hongera kwa kutimiza miaka 50 tunazidi kukukumbuka kwa wema wako juu yetu hasa vijana unastahili pongezi kubwa sana
 5. xavieen

  Nivumilie au?

  nawasalimia. habari mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji. nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4) katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)...
 6. xavieen

  Phone4Sale Nauza Infinix Smart 5

  Ram 2gb Storage: 32 Camera: triple camera Condition: haina hitilafu yoyote ile nimeitumia week 3 Inakaa muda mrefu sana na charge Vifaa vyake vyote vipo BEI :200K
Top Bottom