Search results

  1. Changalucha

    Mwesigwa-katibu mkuu tff

    Nawapongeza TFF chini ya uongozi wa Rais Malinzi kwa uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa. Ni matarajio ya wanasoka hapa nchini Kuwa Mwesigwa utatumia ueledi wako na uzoefu ulio nao kukuza na kuendeleza mchezo huo pendwa wa kambumbu. Hongera MWESI...
Top Bottom