Search results

 1. mtamba b

  Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

  Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Hizi story za kujiajiri ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa serikali ambao wao ni waajiriwa zinaumiza sana. Haiwezekani nipo shuleni kuanzia Nina umri wa miaka 6 Mpaka leo Nina miaka 25/26 then uje uniambie nijiajiri. Najiajiri Nini Sasa...
 2. mtamba b

  Natamani kusoma Master's nje, anayeujua utaratibu anielekeze

  Habari wana jukwaa, Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics. Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics. Naombeni msaada kwa anaefaham utaratibu Ikiwemo available universities. Ahsanteni.
 3. mtamba b

  Flat screen ilioharibika kioo(kupasuka) inaweza kutengenezwa?

  Habari wadau Tv flat screen iliopasuka kioo inaweza kutengenezwa?
 4. mtamba b

  Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

  Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya. Nisipoteze muda iko hivi Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga toka awali awe mama watoto (Kama Mungu atabariki). Nimekuja kugundua yuko kwenye mahusiano na mtu...
 5. mtamba b

  Hivi ke mmekuaje siku hizi mpaka tuna struggle sana kuwapata?! Mmelishwa nini.?.

  Wanawake! Wanawake! Wanawake! Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi? Unamtongoza mdada anakuzungusha wee Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn. Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila...
 6. mtamba b

  Kilichomfelisha Tundu Lissu ni kuongea ukweli mbele ya Umma uliozoea uongo, shortcut, unafiki na propaganda

  Habari wakuu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Hakuna ubishi kuwa hoja zote alizokuwa anaziwasirisha Mhe. Tundu Lissu kipindi cha kampeni zilikua Ni ukweli mtupu. Ingekuwa anagombea nchi zenye watu wenye uwezo wa kupambanua mambo Basi angeibuka mshindi mapema Sana Hakuna ubishi nchi...
 7. mtamba b

  Natamani Sana kujifunza Spanish

  Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Natamani Sana kuijua hiyo lugha Anaefaham wapi nitapata mwalimu kwa hapa Tanzania tuwasiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. mtamba b

  Ujio wa Lowassa upinzani ulivunja mioyo ya wapiga kura 2015; sasa CHADEMA imesimamisha mpinzani wa kweli

  Matokeo ya uchaguzi mwaka 2015: Magufuli alipata kura 8M Lowassa 6M Idadi kamili ya waliokuwa wamejiandikisha ilikua ni 23M. Hivyo takriban watu 9M hawakupiga kura. Kwa mtazamo wangu, sababu kubwa iliofanya watu 9M wasipige kura ilikuwa ni ujio wa Edward Lowassa upinzani na Dkt. Slaa kujitoa...
 9. mtamba b

  Kwenu Rais Magufuli, Waziri Ndalichako, Bodi ya Mikopo na wadau wote wa elimu

  Habari ya uzima wana bodi Nimeandika ujumbe huu kufikisha kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu wanufaika wa mikopo kutoka bodi ya mikopo. Sisi Kama wanafunzi wanufaika wa mikopo tumesikitishwa Sana na kitendo Cha bodi kutoa pesa nusu kwa ajiri ya kujikimu badala ya 510000/= Kama ilivyozoeleka...
 10. mtamba b

  Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

  Habari zenu wana JF Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness. Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru Now nipo...
 11. mtamba b

  Natafuta mwanamke aliye tayari kwa serious relationship

  Habari zenu wakuu Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio kinaelekea kupona So mwanamke yeyote (18-27 ) Aliye serious ani-PM tupeane contact I really need a kampan
Top Bottom