Search results

 1. Junius

  Tundu Lissu Umepotoka!

  Tundu Antipas Mungwali Lissu, (Mb-Chadema) na msemaji wa kambi ya upinzani katika wizara ya katiba na sheria, jana akiwasilisha hotuba ya kambi ya upinzani ya wizara ya hiyo alisema kati ya mengi mambo ya upotofu, upotoshaji hivyo itahalis tukisema Tundu Lissu amepotoka. Katika hotuba hiyo ...
 2. Junius

  Wazanzibar Waichachafya Kamati ya Bunge

  HATUTAKI TENA KUBURUZWA: WASEMA WAZANZIBAR Katika ukumbi wa salama Hall, hoteli ya Bwawani mjini zanzibar, kamati ya bunge ya katiba na sheria inayoratibu maoni juu ya mswada wa sheria ya kuandaa utaratibu wa kupata maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya, imechachafywa vikali na wazanzibar...
 3. Junius

  Mbowe ni Mbumbumbu wa Historia ya Nchi yake au Ukaidi tu?

  Huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari Tanzania akiwa ni Mkwe wa muasisi wa chadema, mzee E.Mtei ni mbumbumbu wa historia ya nchi yake ama mkaidi tu . Mbowe...
 4. Junius

  Dikembe Mutombo: A True Patriotic Son of Africa

  Born in the Democratic Republic of Congo, Dikembe Mutombo came to the United States on an academic scholarship to study medicine at Georgetown University. But his career path soon changed after joining the school's basketball team. Mutombo would go on to play in the NBA for 18 years and become...
 5. Junius

  Elections 2010 Mafuta ni ya Wazanzibari: Zitto Kabwe

  Ahoji Zanzibar kutofaidika na madini ya Bara Na Salum Vuai, Maelezo MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amesema iwapo atarudi tena bungeni, atasimamia kwa nguvu zake zote ili suala la mafuta na gesi liondoshwe katika orodha ya...
 6. Junius

  Kampeni za Uchaguzi Zanzibar katika Picha

  Kampeni za uchaguzi wa rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani zinaendelea kwa amani na utulivu huku vyama vya siasa vikipata fursa ya kupiga kampeni zao kwa amani na utulivu. Pichani yanaonekana mabango ya picha za wagombea wa CCM na CUF katika eneo la soko kuu la Darajani. Kadhalika...
 7. Junius

  Muhidini Issa Michuzi Huu Sasa ni Uhuni!

  Wakuu nilikuwa napitia pitia katika blogu mbalimbali nikabahatika kuangukia kwa inayoitwa blogu ya jamii ya Muhidini Issa Michuzi. Nimeshangazwa na habari picha nilizoziona zikionyesha mikutano ya kampeni ya chama cha upinzani chadema huku baadhi ya picha zikiwa na ujumbe wa bango la chama...
 8. Junius

  Zanzibar Kuwa Mwanachama wa FIFA

  Katika kile kinachoonekana kuumwa na utaifa wao na shauku ya kujitegemea yenyewe nchi ya zanzibar ipo mbioni kuukwaa uwanachama wa shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani (FIFA). Hatua hiyo imekuja baada ya ujumbe mzito kutoka serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar,ukiongozwa na Naibu waziri...
 9. Junius

  Elections 2010 Hapa Chadema Sijawaelewa...hawajiamini au...?

  CHADEMA’s leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket. Chadema Deputy Chairperson, Mr Said Arfi said that party leadership found it difficult to reach...
 10. Junius

  Elections 2010 CCM Z'bar Waitega NEC:Wasisitiza Bila ya Dr. Bilal Hawatachagua CCM

  ...Wapenzi kadhaa wa Dk Bilal.... walisema kwamba wanatarajia mara hii jina la Dk Bilal litarudishwa kwa sababu alikuwa muungwana mwaka 2000 Kamati Kuu ya CCM ilipompitisha Amani Karume kuwa mgombea wa urais CCM Zanzibar wakati kura za Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilimpa alama kubwa Dk Bilal...
 11. Junius

  Nyerere alishiriki Mauaji ya Kassim Hanga?

  Na Ally Saleh, Kuna taarifa nyingi za kuwa Rais wa kwanza Abeid Karume hakuwa mstahamilivu kwa wakosaji wake na wengi wa hao walipotea na hawakujuliana hadi leo. Baadhi ya waliopotea ambao hawkutolewa maelezo ni pamoja na mawaziri wake mwenyewe akiwemo Abdalla Kassim Hanga aliyekuwa Makamo Rais...
 12. Junius

  Mrisho Ngassa na Canavaro Waihenyesha Yanga: Jeuri ya fedha ya Azam Yawa Mwiba.

  Ule wakati wa Klabu kubwa maarufu za Tanzania, Yanga na Simba, ambazo ni wababe wa soka la nyumbani huku zikiwa urojo katika medani za kimataifa unakaribia kufikia hatima. Hatua hiyo inakuja baada ya timu ya Yanga kujikuta ikizidiwa ubavu wa kifedha na timu ya Azam FC,inayopigana kwa jeuri ya...
 13. Junius

  Fifa impose Cairo ban on Egypt following Algeria attack

  Football's world governing body Fifa has banned Egypt from playing in Cairo for two World Cup qualifiers, after an attack on the visiting Algerian team. Egypt's FA has also been fined more than US$80 000 for the incident, which happened last November. Three Algerian players were injured when...
 14. Junius

  Mwanajeshi atuhumiwa kufanya Mauwaji ya Kutisha Tabora.

  Mwanajeshi wa JWTZ amefanya mauwaji ya kutisha kwa kumchinja mkewe kikatili na kumuuwa mtoto wa kaka yake kwa kumpiga risasi.
 15. Junius

  Mitoto Mingine bana...!!!

  A biology teacher wished to demonstrate to his students the harmful effects of alcohol on living organisms. For his experiment, he showed them a beaker with pond water in which there was a thriving civilization of worms. When he added some alcohol into the beaker the worms doubled-up and died...
 16. Junius

  Dunia ya mwisho: Mtu anaweza kufanya mapenzi na mama yake mzazi?

  Bofya hapa chini usikilize kisa na mkasa. http://dullonet.com/home/?p=256
 17. Junius

  Man United to offer Spurs Berbatov and Carrick for Bale and Modric

  Manchester United are set to offer Tottenham a cash plus player deal to land Gareth Bale and Luka Modric, according to report this morning. United boss Sir Alex Ferguson is ready to rebuild his squad after a disappointing campaign, and has already made public his admiration of Spurs midfield...
 18. Junius

  Kombe la Dunia Latabiriwa Kuleta Maafa Makubwa Duniani

  THE new leader of South Africa's white supremacists last night warned that the World Cup in his country will spread Aids around the globe. Steyn van Ronge - who took over the far-right Afrikaner Resistance party after the murder of founder Eugene Terreblanche three weeks ago - chillingly...
 19. Junius

  Mzee Yussuf wa Jahazi Mahututi Muhimbili?

  Muimba taarabu mashuhuri nchini Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph Mwinyi maarufu kama ‘Mzee Yusuph’, leo majira ya saa sita mchana amedondoka ghafla na kupoteza fahamu kisha kukimbizwa katika Hospitali kuu ya Taifa ya Muhimbili. Tukio hilo la...
 20. Junius

  Hii Ndiyo Timu Yangu "World Cup": Diego Maradona

  Diego Maradona has hinted that Argentina's line-up in their World Cup opener against Nigeria could be identical to the one which started the 1-0 win over Germany in a warm-up in Munich last month. Maradona, speaking to the South African Broadcasting Cooperation's Metro FM radio station...
Top Bottom